You are welcome
Hahahahaha kwani lazimaaaaaa???? mgodi haujatema mkuu
Aiseeeee jamani poleni sana mtandao wa tigo umenifanyia yote haya nimejiunga bando la mwezi sasa toka alhamis network inasumbua sana sijui kuna shida gani nisameheni bure tu
Hahahaaaa nilisema mimi mke mkubwa ni mkubwa tu ..... stella anakiherehere na yamemchwea vibaya hapa nimefurah haswaaaaaa Daudi1
Nimejikuta nakupenda bureee
Au Mozie anaumwa?
Ndomana vitabu vya dini, mashekhe na mapadri wanatufundisha kuwa na subira ni kitu muhimu sana atujuhi tuh sis wanadamu........Unapopatwa na shida chochote kwako unaona sawa.
Atakuwa alipewa dozi na paulina akazidiwa