Go mi num
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,321
- 1,609
Mpka ijumaaaa mkuu
Duuu.... mbali mnooo
Mpka ijumaaaa mkuu
Avatar nimeweka wake zangu wa muda mrefu asee :sly:😀😛
Wake zako unasaga cku hizi
Pole sanaaa, kwa mtazamo wako unafikiri ni kwa nini Paulina alikuwa anahangaika kutafuta mtoto ilihali akijua kuwa hawana uwezo wa kupata mtoto?
Uwii ww..... mbn nshakanushaaa jmeni
Aaaaah! usiniambie kama hujui ninachoongela hapa
Kwa mujibu wa stori inaonyesha wote walikuwa na shida laiti kama moze angekuwa hana tatzo angetafuta mtoto sehem nyingine
Kwani unafikir mwanamke anaweza kumnyima nini mwanaume?
Exactly, ni nini kilichomfanya yeye ahangaike?
Poa mkuu nimeshaona. Ha haaa,ila Stella katisha,me nilishahisi km mozie ana tatizo la uzazi ndo maana Paulina alikuwa akihangaika. Lkn mkuu Daudi1 ina maana mozie huu usiku aliolala kwa Paulina hakupiga mzigo kweli!? Maana Paulina alionekana toka mapema joto lipo juu!Dah! mkuu sorry sijaweka toka ijumaa network ya tigo ilikuwa mbovu hivyo nikashindwa ila nimeweka zote mbili endele kupata uhondo