Hahahahah atakuwa alipiga maana joto likipanda si mchezoPoa mkuu nimeshaona. Ha haaa,ila Stella katisha,me nilishahisi km mozie ana tatizo la uzazi ndo maana Paulina alikuwa akihangaika. Lkn mkuu Daudi1 ina maana mozie huu usiku aliolala kwa Paulina hakupiga mzigo kweli!? Maana Paulina alionekana toka mapema joto lipo juu!
Umeona eeee! maana alikuwa anajishaua sana
km ni kwelikafotoa katot ka Kiarabu huyu Mozie si Dume la mbegu bora nayeye ajieleweYaaaani..she was irritating kwa kweli...bora ata kalivoumbuka na product yake ya kiarabu.tehe teh Na yeye akapewe makavu tuu huko.kajue dunia inaenda wapi.
km ni kwelikafotoa katot ka Kiarabu huyu Mozie si Dume la mbegu bora nayeye ajielewe
hapa patamu
nimekuelewaAlishatuliaga longi.sema bi mdash paulina ndo alimchokonoa akajikuta anaangukia kwa housegal.lasivyo angekua ashatemana na mambo ya kutafuta mtoto.
They say tit for tat is a fair game.
nimekuelewa
hivi hayo MAKAVU ya kitoto cha kiarabu inaendelea lini tena?
mpaka Ijumaa ya kesho
du hii kali ya kusubiria Shigongo
Dah! Haya maswali mengine bhana ni hadi uwe mfalme njozi otherwise unaweza kosa mzigo hivi hivi!! Hivi default answer hapo sio kwamba "sina mke?" au?Halafu hivi Masawe una mke wewe? aliuliza Paulina
Daudi1,
You are a good story teller. Katika episode-6 wakati baba Riziki anatafakari kwanini Paulina alimpa majibu mabaya, -- yeye mwenyewe baba Riziki alikumbuka kwamba alitumia kinga wakati wa kufanya mapenzi, kwa hiyo akaondoa wasiwasi wa ukimwi!! Sasa katika episode zilizofuata, baba Riziki alionyesha kuwa na uhakika asilimia 100 kwamba mimba ni yake!!! Hapa jaribu kurekebisha kidogo ili story iendane na ukweli wa mambo. Kama baba riziki alitumia kinga, haiwezekani awe na uhakika asilimia 100 kwamba mimba ni yake. Labda ongeza maneno pale kwamba ..... Alitumia kinga lakini mpambano ulikuwa mkali kinga ikapasuka........ Kwa hiyo hofu ya ukimwi pia ilimsumbua......
Vinginevyo, you are a good story teller. Well done.
Thats not his call to make coz yeye anatusaidia watu wa hum tunaopenda story kuipata kiurahis kuliko kununua magazeti.what he is doin is just SHARING.
Otherwise somebody rose ndauka i think, is the one responsible for dat.(kurekebisha)
Nimejikuta nakupenda bureeeThats not his call to make coz yeye anatusaidia watu wa hum tunaopenda story kuipata kiurahis kuliko kununua magazeti.what he is doin is just SHARING.
Otherwise somebody rose ndauka i think, is the one responsible for dat.(kurekebisha)
Maswali ya mtego hayo