Jamani, kwani lazima?

Jamani, kwani lazima?

Waliporudi nyumbani mara mdogo ake Moze akatuma sms ya mapenzi kwa paulina moze akaiona, alipojua kuwa paulina alilala na mdogo ake Moze akajiuliza kwani lazima niendelee kuishi na huyu mwanamke, akaamua kuondoka zake.
Hahahahaha umeamua kuiendeleza
 
Kulingana na saikolojia ya wanaume wengi,nilijua hawa hawata weza kudumu na kilichokuwa kikiwaunganisha ni stella. Na katika michango ya watu humu, inaonyesha wanawake wengi wanapenda kuwa nyumba kubwa, wanaona kuwasaliti waume zao hakuwapotezei sifa ya kuendelea kuwa wake, wapo tayari kucompete na beki tatu hadi risasi ya mwisho. Hao ndo wanawake tulionao.
Nashauri km ww ni mwanamke na umefanya kitendo km cha Paulina na mumeo kajua, mwambie "mume wangu najutia na nimekutia aibu kwa nilicho kifanya na wala cstahili kuitwa mkeo naomba nirudi kwetu nyumbani" huku unabeba nguo zako unaondoka. Mwanaume anaweza akaamini kweli umejutia na akakufwata kwenu mrudiane kuliko kukomaa nisamee cjui tumetoka mbali, unajidhalilisha mwanamke wa kiafrika, shtuka.
 
Duh!ndo asikufwate huko kwenu jee?si mtu unaeza ukafa mdogo mdogo kwa kusononeka?adhabu umejipa mwenyewe wala hujakimbizwa.moyo utauma sana aisee.mbaya zaidi awe na mchakato wa mwanamke mwengine.

By the way hiyo hadithi kavile zile za watch out for part2.hahha Daudi1
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahah imewaacha dilema? ndo imeisha hivyo madam
 
Aiseee mimi mwanamke type ya Paulina simpi hata sekunde, unaweza unalea watoto ambao si wako, mwanamke gani haijithamini
 
Duh!ndo asikufwate huko kwenu jee?si mtu unaeza ukafa mdogo mdogo kwa kusononeka?adhabu umejipa mwenyewe wala hujakimbizwa.moyo utauma sana aisee.mbaya zaidi awe na mchakato wa mwanamke mwengine.

By the way hiyo hadithi kavile zile za watch out for part2.hahha Daudi1

Nakwambia ukweli dadaangu, kupiga magoti na kugalagala mwanaume hata km atakusamehe lkn hata kuamini tena au mwingine atakua anaishi na ww lkn hata kupa heshima km aliyokuwa anakupa mwanzo mf. My queen, one n only, nk maana dhamira itakuwa inamsuta cku zote, cc wanaume tumeumbwa vbaya sn. Hivyo jaribu kujikana mwenyewe, onyesha huna hadhi tena kwake, onyesha hakuna unachostahili kingine zaidi ya kuachika. Mpe mwanaume jukumu la kukuonea huruma kwa jinsi unavo jichukia na kujitoa uthaman mwenyewe, co useme naomba nihurumie! Chukua kilicho chako ondoka, akija kwenu akiuliza kwa nn umeamua kuondoka, mwambie najiona sistahili tena kuwa mkeo kwa upuuzi niliofanya. Mpe yeye kaz ya kukurudisha kichwani kwake na kuamini kuwa kweli uliteleza na katu huto rudia kwa jinsi tu anavokuona huna jinsi. Kulia huwa hatuon km ni suluhu kwa machoz ya mwanamke yapo karibu, af wengi ni waongo af wanakimbilia kulia au anajifanya ana pressure wkt ni kicheche. Hata akikuacha kwa mda bila kuja, lazna utapagawa lkn vumilia endelea kuomba mungu wako anza ibada hata jamii ikuone umebadilika. Usimpigie cm,uctume mimeseji utazid kumuudh tu na kukuona kahaba hasa akiimagine ndo unalamba dushe la jamaa, dah anapata hasira, unaishia kuambulia matusi. Mtume rafiki yake wa karibu, mwambie co tu unaogopa kumuona, bali hata kusikia sauti yake pia unaogopa. Mwambie amwambie unamkumbuka sana, na utajuta milele kwa kujidhalilisha. Mwambie licha usaliti nlioufanya lkn hakuna mwanaume km yeye ktk maisha uliyowahi ishi.
Nakwambia mkikutana wote mtalia sana saaaana, mkimaliza kulia ndo utakuwa mwazo wa msamaha, lkn ataendelea kutibu hilo jeraha taratibu kutokana na jinsi ulivojirekebisha. Uckimbilie ngono km ndo silaha, wanawake wengi wanafikiri ukimpa mwanaume papuchi inasaidia, mawazo ya kuchapiwa yanawapa taabu sana wanaume, after all papuch anaweza pata popote, alichokuwa anataka kwako ni upendo. Anaweza akakurudia hata mwaka mzima af akakuacha kwa usaliti ulioufanya mwaka jana.
 
Duh!sawa mangelengele.nimekuskia,nimekuelewa pia.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hadithi hii inatoa ushuhuda tu kwa yale yakiyonenwa katika vitabu vya dini kuwa kuvunjika kwa mahusiano yoyote chanzo ni mwanamke
 
Mungu amempa mwanamke ufundi wa kujenga nyumba ndio hapo wanaposema mwanamke hujenga nyumba kwa mikono yake na pia hubomoa kwa mikono yake, ndoa ikivunjika mwanamke anakuwa hajasimama katika nafasi yake, mwanamke akiwa a msimamo katika ndoa yake hakika ndoa inakuwa imara mwanamke akiteteleka hata ndoa huteteleka pia
 
mmh me macho ilinitoka nikasema inaendelea
Poleeeee, endelea kuwamo nitaleta kisa kingine naamini watu waajifunza kutokaa na visa hivi vya mapenzi wengine waabadilika kwa wanayoyafanya, lengo ni kuhamasishana juu ya kuacha michepuko ambayo haia faida zaidi ya hasara katika familia zetu
 
Back
Top Bottom