KijikoYajiko
Senior Member
- May 8, 2012
- 106
- 19
- Thread starter
- #21
Kila mtu ana study yake ya kutongoza ukitaka kujua mimi natongoza vipi itakuwa ngumu sana wewe kufahamu.
Mistari yangu ni mikali sana. Siku ya kwanza tu nampa mistari kisha nampotezea huku demu nikimuacha kwa mshangao mkubwa haipiti wiki atanitafuta mwenyewe.
Haya kazi kwako au subiri mwengine nae akupe study yake
Sasa mkuu mpaka unafikia hatua ya yeye kukupa fursa ya kumpa mistari huwa unafanyaje? Baadaye ukamlizishe na mistari yako hiyo afikie hatua ya yeye kukutafuta huwa inakuwaje hapo?