View attachment 194339
Mwenzake huyu hapa
Mbona rahisi sana!! We kama umemlenga unayemuhitaji msimamishe kisha mwambie hivi' Oyaa inakuaje? Ujue mi nakumaindi kitambo sana sasa niaje unanipa mzigo au vip? (huku umekunja sura mwanzo mwisho) upo hapo?
download hii app inaitwa matongozano labda inaweza kukusaidia(jokin).Sasa nimesurrender kabisaa, nimeshindwa sasa.
Zoezi hili kwangu ni gumu sana. Kutamani natamani, mademu mjini wengi kichizi, lakini namna ya kuwatokea sasa. Hizi aibu hizi jamani.
Nashindwa kuwasemesha mademu kuhusu masuala ya mapenzi.
Nikimpata demu hasa akiwa anatembea najisemea leo huyu lazima nimtongoze, nitamwendea kwa kasi lakini nikimfikia tu nashindwa hata kumsalimia hunibidi nimpite tu.
Nikienda mbele kidogo najisemea ishi!! kweli nimeshindwa kumwongelesha, hapana ngoja niende mdomdogo akinifikia lazima nimwambie.
Lakini demu atanifikia mpaka atanipita tena nisimwambie lolote, Jamani, ukisikia domo zege ndo mimi sasa.
Siku hiyo itapita najisemea kesho natongoza vyovyote itakavyokuwa, lakini ndo hivyo, kutakucha nitaingia tena mtaani kama ada, lakini siku hiyo nayo itapita yaleyale.
Kwenye gari sasa.Mara nyingi huhitaji sana nikae siti iliyokaribu na demu ili nimtongoze, lakini kwani huwa naweza sasa?
Sasa wanaume wenzangu, hivi nyinyi huwa mnatongozaje? Mnisaidie jameni.
download hii app inaitwa matongozano labda inaweza kukusaidia(jokin).
Ah...wavulana wanashida sana, kwani haya mambo hamfundishwi Darasani tena....?
plan zitapotea vipi lipa ada nikupe darasa la siku tatu ukitoka hapo na chet utaniambia
Mkuu, hakika nikijulishwa uwepo wa darasa km hili popote nitahudhuria bila kukosa.
Ah...wavulana wanashida sana, kwani haya mambo hamfundishwi Darasani tena....?
We ulifundishwa kwa darasa tcha?
Wapi wewe miss neddy# umekuwa mchoyo wa maarifa!!
Ah...tuliwahi kuwa na darasa hapa, wenzako walinufaika...
darasani hutaki kuja usaidiweje lol
Aaah, madem wengine huwa wanaonekana tu matusi njenje. Sasa kuanza kutukanwa mtu mzima huwa naona noma sana aise!!We jikaze kama comando wa cuba au mwanajeshi wa vietnam halafu mtamkie unayotaka kumwambia.
Ilikuwaje tena, darasa liliezuliwa upepo au? Lirudisheni hata chini ya mti kama kipindi cha ngumbaru elimu hii inapaswa kuwa ya UPE.