KijikoYajiko
Senior Member
- May 8, 2012
- 106
- 19
Sasa nimesurrender kabisaa, nimeshindwa sasa.
Zoezi hili kwangu ni gumu sana. Kutamani natamani, mademu mjini wengi kichizi, lakini namna ya kuwatokea sasa. Hizi aibu hizi jamani.
Nashindwa kuwasemesha mademu kuhusu masuala ya mapenzi.
Nikimpata demu hasa akiwa anatembea najisemea leo huyu lazima nimtongoze, nitamwendea kwa kasi lakini nikimfikia tu nashindwa hata kumsalimia hunibidi nimpite tu.
Nikienda mbele kidogo najisemea ishi!! kweli nimeshindwa kumwongelesha, hapana ngoja niende mdomdogo akinifikia lazima nimwambie.
Lakini demu atanifikia mpaka atanipita tena nisimwambie lolote, Jamani, ukisikia domo zege ndo mimi sasa.
Siku hiyo itapita najisemea kesho natongoza vyovyote itakavyokuwa, lakini ndo hivyo, kutakucha nitaingia tena mtaani kama ada, lakini siku hiyo nayo itapita yaleyale.
Kwenye gari sasa.Mara nyingi huhitaji sana nikae siti iliyokaribu na demu ili nimtongoze, lakini kwani huwa naweza sasa?
Sasa wanaume wenzangu, hivi nyinyi huwa mnatongozaje? Mnisaidie jameni.