Jamani hawara anauma kuliko mke, unabisha?

Jiangalie wapi umetenga fungu kubwa kwa ajili ya entertainments.

na siku mi mkeo nikiyajua hayo ujue ninaanza.

mimi nimetenga sawa sawa kwa ajili ya entertainments_ila mambo ya muhim/kimaisha my wife ana share nzito sana

Twakusaidia kukulelea mume we endelea kulea watoto nyumbani sasa why bajeti isikue kubwa kwangu!
That is why I trust nobody; except my Lord....! And I believe that, Only fools may trust their partners....!
 
Bujibuji! Inaweza ikawa kweli mawazo yako. Nyumba ndogo ina gharama ya kufa mtu. Kwa ambaye hana namwomba asijaribu.
 
Jaman hebu mwogopen mungu!yani hawara akuume kuliko mkeo aliacha raha za kwao na kuungana na wewe, aliekuzalia watoto,anaekuvumilia ucku ukiwa unakoroma,anaekupenda hata ukiwa umefulia,anayekufanya uonekane nadhifu mpaka huyo hawara akupende yani mkeo ambae hata aibu yako usiyoweza kumwambia mtu anaijua,achen hizo wakaka/wababa hao mahawara mnashea na wenzenu wengi tu mwisho wa siku akija mwenye mshiko zaidi unatoswa vilevile!
 
Heheeya!!.... nyamayao huyoooo anaogopa kuibiwa mume.

hakunaga mume anayeibiwa hata cku moja, kwani unanikuta nae road unanikwapua? cyeye kaamua kuwa na hawara? cnaga hofu hizo my dear, kama kufanya afanye ninachodai ni heshima yake fullstop!....nyie endeleeni kuwalea na kupotezeana mida huko huko......
 
Jiangalie wapi umetenga fungu kubwa kwa ajili ya entertainments.
Mkuu Bujibuji, hiyo heading yako imenifanya nianze kufikiria kwamba labda wewe ni member wa kabila la wazanaki kutoka mkoa wa Mara. Maana kwa hawa jamaa, akikufuma kwa hawara yake lazima akupige mshale, lakini kwa mai waifu wake unajipakulia bila wasi wasi!
 
Back
Top Bottom