Jamani hawara anauma kuliko mke, unabisha?

Jamani hawara anauma kuliko mke, unabisha?

Mimi huwa sipeleki pesa nyingi kwa nyumba ndogo hata kidogo, tena huwa sehemu ya kufanyia mazoezi yangu mengine. Na ndo maana huwa sikai nao muda mrefu wanakimbia wakifulia wanakuja wanayakuta mazoezi pale pale.

Mke wangu namheshimu simfanyii mazoezi maana nyumba ndogo ni ya wote haiwezi kuwa yako hata siku moja. Mke angalau asilimia fulani anaweza kuwa wako.

La muhimu wanaume wenzangu ukianza mambo haya bado kijana hutayafaidi, wekeza kwanza mapesa yakishakuwa mengi hapo waweza fanya lolote ukiwa na uhakika.

Mambo ya kufanya vitu kwa mawazo hayafai, mitoko na nyumba ndogo ni kuanzia 27 ya mwezi mwisho tar 7 ya mwezi unaofiuata unaanza kuwa bize eti. Nao wanakuwa wamejua kuwa umeishiwa na wengine wanakuwa wanaendelea.
 
Mimi huwa sipeleki pesa nyingi kwa nyumba ndogo hata kidogo, tena huwa sehemu ya kufanyia mazoezi yangu mengine. Na ndo maana huwa sikai nao muda mrefu wanakimbia wakifulia wanakuja wanayakuta mazoezi pale pale. Mke wangu namheshimu simfanyii mazoezi maana nyumba ndogo ni ya wote haiwezi kuwa yao hata siku moja. mke angalau asilimia fulani anaweza kuwa wako.
La muhimu wanaume wenzangu ukianza mambo haya bado kijana hutayafaidi, wekeza kwanza mapesa yakishakuwa mengi hapo waweza fanya lolote ukiwa na uhakika. Mambo ya kufanya vitu kwa mawazo hayafai. mitoko na nyumba ndogo ni kuanzia 27 ya mwezi mwisho tar 7 ya mwezi unaofiuata unaanza kuwa bize eti. Nao wanakuwa wamejua kuwa umeishiwa na wengine wanakuwa wanaendelea.

mnajidaigi mpo smarttt....laiti mngejua!
 
Acha kabisaa nyumba ndogo ghali sana kule sipeleki maharage, mkaa wala unga jamani ni mwendo wa Take-away mbona ghaaali
 
Bujibuji unataka kutuambia wake zenu ni wa kufua,kupika kuwazalia watoto kwa ufupi vijakazi lakini entertainments za kutosha huwa mnapeleka nyumba ndogo.


Jiangalie wapi umetenga fungu kubwa kwa ajili ya entertainments.
 
Mimi huwa sipeleki pesa nyingi kwa nyumba ndogo hata kidogo, tena huwa sehemu ya kufanyia mazoezi yangu mengine. Na ndo maana huwa sikai nao muda mrefu wanakimbia wakifulia wanakuja wanayakuta mazoezi pale pale. Mke wangu namheshimu simfanyii mazoezi maana nyumba ndogo ni ya wote haiwezi kuwa yao hata siku moja. mke angalau asilimia fulani anaweza kuwa wako.
La muhimu wanaume wenzangu ukianza mambo haya bado kijana hutayafaidi, wekeza kwanza mapesa yakishakuwa mengi hapo waweza fanya lolote ukiwa na uhakika. Mambo ya kufanya vitu kwa mawazo hayafai. mitoko na nyumba ndogo ni kuanzia 27 ya mwezi mwisho tar 7 ya mwezi unaofiuata unaanza kuwa bize eti. Nao wanakuwa wamejua kuwa umeishiwa na wengine wanakuwa wanaendelea.

Na we umeona sifaaaaaa.........! Heshima gani hiyo unayompa mkeo?? One day yes nakwambia, we ngoja tu amalize kukuchora ndo utajibeba vizuri!
 
Uchungu wa hawara muulize Mzanaki bana,hata akijuwa unamchukuwa mkewe hana tabu,ila hawara yake lazima akuuwe tu,ukisalimika lazima upate kilema cha maisha.Na kama huliamini basai jaribu halafu njoo na majibu hapa jamvini.
 
leo ndo nimejua duniani kuna wanaume madandara! Eti hawara ana thamani kuliko mkeo? Aibu yenu wanaume mnaofungua flaiz kwa mahawara.
 
Watu wengi wanaumia zaidi na kuwa na wivu na mahawara zao, sababu ikifika usiku wanawacha peke yao wanaenda kulala na wake zao, mawazo yote yanakuwa kwa mahawara wakihofia watu watakuwa wanawatafunia!
 
umesema kweli aiseeee



Jaman hebu mwogopen mungu!yani hawara akuume kuliko mkeo aliacha raha za kwao na kuungana na wewe, aliekuzalia watoto,anaekuvumilia ucku ukiwa unakoroma,anaekupenda hata ukiwa umefulia,anayekufanya uonekane nadhifu mpaka huyo hawara akupende yani mkeo ambae hata aibu yako usiyoweza kumwambia mtu anaijua,achen hizo wakaka/wababa hao mahawara mnashea na wenzenu wengi tu mwisho wa siku akija mwenye mshiko zaidi unatoswa vilevile!
 
ndio tatizo la kuchaguliwa mke au mume lazima asiume lakini tuliojichagulia tunajua uchungu wa mke au mume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom