Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 355
- 702
Leo nikiwa napita kwenye mitandoa, nikakutana na mtumishi mmoja ambaye yeye alielezea anavyofanya juu ya Sadaka yake ya Fungu la Kumi
Yule dada alisema fedha yake ya fungu la kumi anaweka bank na pale anapopata msukumo kutoa fungu la kumi anatoa, akataja maeneo kadhaa ambayo yeye binafsi anatoa kama kwa wayatima, ununuzi wa maeneo kwa ajili ya ujenzi wa madhabahu za ibada nk
Nilijaribu kusoma mawazo ya watu kupitia comment wengi walimpongeza na wengine walimbeza , mimi binafsi nampongeza kwa kutoa fungu la kumi bila kuja mbinu anayotoa
Je wewe fungu lako la kumi unapeleka wapi ?