Hawara kisheria ni huyu hapa!

Hawara kisheria ni huyu hapa!

Atukuzwaye

Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
57
Reaction score
50
Mara nyingi kumekuwa na fikra tofauti tofauti kwa watu juu ya 'kuwa hawala' katika mahusiano.

Kwahiyo swali linakuja, hawara ni yupi hasa kisheria?

Kwanza kabisa kama uko kwenye mahusiano mawili au matatu, wewe ni hawala.

Pili, kama unaishi na mwanaume ambae ameoa na hajavunja ndoa yake; haijalishi mmeishi kwa miaka mingapi, wewe ni hawara. Lakini pia, kama unakaa na mwanaume kwa miaka 10 au 15 na zaidi bila ndoa na baadaye akaoa mke mwengine kihalali, wewe ni hawala.


Kama umeolewa ndoa ya bomani na mwanaume ambae tayari ana ndoa ya kikristo, wewe ni hawala kisheria sababu katika kifungu cha 15 kifungu kidogo cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971: Mwanaume aliye kwenye ndoa ya mke mmoja hawezi kuoa mwanamke mwengine kwa namna yoyote ile. Kwahiyo, ndoa ya kikristo ni ndoa ya mwanamke mmoja.
 
Lakini wakati huo huo hawara wewe mumeo akikuacha hiyo mahakama inakutambua kama mkewe halali na kumtaka akuzawadie baadhi ya mali zake.

Nilitamani kujua yeye yupo stage gani ya uhawara?
 
Back
Top Bottom