Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

katika kuhudumia huko ndo naona acha kazi hapa nikuoe huku nakutafutia kazi nyingine pia uwe karibu yangu hutaki ila huduma unataka
hapo ni kukupiga chini uhudumiwe na wengine kama huwezi fuata masharti yyak

katika kuhudumia huko ndo naona acha kazi hapa nikuoe huku nakutafutia kazi nyingine pia uwe karibu yangu hutaki ila huduma unataka
hapo ni kukupiga chini uhudumiwe na wengine kama huwezi fuata masharti yangu
Kwann mm ndo nifate yako na kwann we usifate yangu wakti wew ndo ulinitongozaaa kuna design ya wanawake hawapendi kuendeshwa kbs yaan bora tuelewana sio kunipelekesha my dear
 
Hahahahah..
Utakuwa wee ni mgeni kwa wanawake.
Kulia na kulalamika ndio silaha yao ya kukumaliza...kama tutakuwa hai mwakani utakuja kuleta mrejesho baada kumuhurumia.
Fikiria mtu analiaje kwenye simu,kwa vi emoji vya machozi ama
 
Angalieni tu msije mkazeekea nyumbani kwa wazazi wenu
Oooooooh zmn ndo tuliolewankwa ajili ya wazaz na heshima kwenye jamii kwa sasa ni tofauti kuolewa sio jambo la kutamaaani ndo maana wengi wanapenda tu harusi watu waone wazaz waheshimike then baada ya miez6 ndoa imevunjika
 
Kwann mm ndo nifate yako na kwann we usifate yangu wakti wew ndo ulinitongozaaa kuna design ya wanawake hawapendi kuendeshwa kbs yaan bora tuelewana sio kunipelekesha my dear
bora yangekuwa ya maana, yaani nifate ya kukupangia chumba na.kukuwekea fenicha uwe huru na sio ndoa

kuna mdau kasema hapo juu wanawake wa hivyo ni malaya na wanataka kuwa huru ili wagawe poa

kama anajiona ni mwanamke wa aina iyo rahisi tu kila mtu afate njia yake sio kujiliza liza
 
Mkuu kama kweli unampenda demu wake we fanya tu kile anachokwambia, jitundulize umpangie chumba mixer kumnunulia funiture na vitu vingine vya ndani ili aweze kujinafasi coz hio itanogesha penzi lenu maana itakuwa rahisi kwa nyie kuonana.

Usiogope bana, Si unajua Hawa wanawake ukitaka kuwa nao lazima ujiandae kugharamia, everything is all about risk taking.
 
B
 
Bora ata wew
 
Kwan huwa tunawapa bila kuiomba
Unaishi sayari gani wewe, amka haraka toka usingizini


Siku hizi Me ndiyo tunazikimbia K kuepuka mikosi isiyo na ulazima na kuendelea kudumisha ndoa kiuaminifu, ila Ke wanatutongoza sana tu sisi Me
 
Kipaumbele chako kwenye kuoa ni shape na sura?

Kama siyo nakushauri achana na huyo mwanamke vinginevyo utakuja kulia
 
Mabinti wa kichaga&kipare..hizi ndo pigo zao, japo sio wote.

Atakuchuna mpaka uzeeke, shtuka bro,
Boma la Utete.
Kiujumla 90% ya kanda ya kaskazini wamekaa kiupigaji tu maana nilishawahi kuwa nao kimahusiano Wachaga, Wairaki, Wambulu, Wapare ila Wamasai pekee ndiyo wanajitambua.
 
ayo sio mahusiano ila huyo demu kapata ajira kwako. ila kwa vile umemuajir wewe mwenyewe endelea kumlipa
 
Hahahahah..
Utakuwa wee ni mgeni kwa wanawake.
Kulia na kulalamika ndio silaha yao ya kukumaliza...kama tutakuwa hai mwakani utakuja kuleta mrejesho baada kumuhurumia.
Hahahahaha mwanamke anafanya upuuzi halafu anam victimize mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…