Jamani ananisingizia, mimi siku………………….!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani ananisingizia, mimi siku………………….!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by doctorz, Feb 5, 2012.

 1. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa chuo wakati ninaishi na uncle wangu O’Bay. Uncle alikuwa na binti mmoja tu aitwae Jaquillin na alikuwa mkubwa kwangu na anafanya kazi Tanesco. Untie alikuwa amefariki.
  Siku moja alikuja rafiki yake Jaquilin toka Shinyanga aitwae Roda kwa siku chache. Wote walikuwa wana lala chumba kimoja. Asubuhi walipokuwa wana andaa breakfast, walikuwa hawajui kuwa nawasikia, Jaquilin akamu uliza Roda, Umelala wapi jana? Roda akajibu; Nilikuwa kwa Mike nikimfundisha kufanya project yake ya college. Wote wakacheka sana.
  Jaquiline akaenda zake kazini

  Mara akaja rafiki yake Roda aitwae Pili. Walikuwa hawjui kuwa mimi sikuenda college, Waka anza kuzungumza juu ya Uncle kuwa wana muonea huruma toka afiwe na mkewe. Lakini Roda akasema kuwa jana yake alikuwa amemfariji usiku kucha na kutokana na hali ilivyo atarudia tena kwani alikuwa fresh.

  Nika udhika sana kwa nini alinisingizia kuwa alikuwa na mimi kumbe alikuwa na uncle.

  Juzi tena nika kumbushwa kuhusu siku huyo Roda aliponifundisha project. Kwa nini ananisingizia….!!!!!!!????
  Nisaidieni.
   
 2. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  sasa siuseme ukweli,hakuna kingine kitachokuweka huru ila ukweli
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli ni kwamba sipendi huko kusingiziwa. Bora ingekuwa kweli.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  wivu? Bifu? Au?
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wewe Kongosho kama ukizibiwa riziki kwa kusingiziwa uta react namna gani!!!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wewe ndo Mike? Kama jibu ni ndio kwa nini usisemw ukweli?
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Omba gem na wewe kama vp, acha wivu dogo...
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  napiga action ya kufa mtu
  natafuna mzigo bila hiyana

   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Chana linda ilo sio unazubaa.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,056
  Likes Received: 6,505
  Trophy Points: 280
  haki ya nani mtaondoka wote
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hi Mike...:A S 103:
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi like Roda!
  Ana katabia kama ka Kongosho!
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hahhahaahaa jamaa kajitaja jina bila kujua
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hahahahahhaha!
  Unatamanije ungekuwa kweli!!,
  Pole,mwite huyo mdada uongee naye mwambie hupendi kusingiziwa ebo!
   
 15. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  POPOBAWA anaunga mkono hoja .......
   
 16. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mike is a factious name. I am a muslim and I have an islamic name. RR You are hiiinig a ZERO.
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  he he he, nimemsingizia nani nini?

  Swirry, wee wa kusema haya??
  Utaumiza mtima wangu

   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  he he he, wewe popobawa,
  ntauvuta huo mkia niung'oe
  kwani nimekufanyaje jamani!?

  Mie namfundisha mike kula bila kutaja jina
  na bila mjomba kujua
  wala binamu yake asijue

  mwanzodoa
   
 19. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  bwana mike vipi mkuu unachelewa chelewa? unatuangusha mpwa
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Darlin...yaani hayo maujiko niliyikupa hapo huwez yapata sehemu nyingine,,ninunulie kwanza kijoti niendelee kuburudika ili nipate nguvu ya kuanza kutoa maelezo,!
   
Loading...