Jaman hizi modem mpya za airtel hazichakachuliki?

Jotojiwe

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
335
130
Naomben mnisaidie jaman na modem model e153u-2 ya airtel kume kuwepo program ya kuichakachua kwa mda tu na sijui nifanyeje huku niliko vodacom kidogo ndio afadhali airtel ipo weak sana. Naomben msaada wenu wataalamu
 
naomba hiyo ya mda tu au nipe jina lake kuna dc unlocker mpya inafungua sema hadi uwe na credit zao
 
Naomben mnisaidie jaman na modem model e153u-2 ya airtel kume kuwepo program ya kuichakachua kwa mda tu na sijui nifanyeje huku niliko vodacom kidogo ndio afadhali airtel ipo weak sana. Naomben msaada wenu wataalamu

kwani hiyo ya kuchakachua kwa muda unashindwaje kuitumia na ndio watu wanatumia au ulipo ambiwa kwamba inachakachua kwa muda ukwajua ni kwa wiki moja tu au mwezi mmoja tu kuchakachua kwa muda ni kila utapo chomeka ktk pc yako ni kiasi cha ku click tu haina ugumu kiasi kwamba ulalamike kama huja elewa sema ueleweshwe ili usipate tabu
 
Hizi modem zinachakachulika permanetly . moja kwa moja. ukiachia dc unlocker ambao wao bei zao ni ghali sana kuna web zengine kidogo bei rahisi. kama unamjua fundi simu mwenye unlock box ya octopus kwake yeye kuchakachua permanetly ni bureee. muombe akusaidie. hii box inauzwa dola 49. kwa ajili ya ku unlock both simu na modems hasa hizi ziloshindikana ndio hata hazichukui mda.
 
Airtel ni customized software iliotoka mwaka 2012 mwezi february hamna software wala box yoyote yenye uwezo wa kuichakachua ambayo ni ya nyuma zaidi ya hapo

Lazma huyo fundi au mwenye dc unlocker awe ana version mpya ya karibuni.

For what i know nimeona forum yao hao box kwa sasa hawasuport unlock ya airtel tanzania ila wamefanya patnership na dc unlocker ukinunua box 1 unapewa credit ya ku unlock modem 1 bure.

Tusubiri itoke dc **** ya bure ya version mpya ya dc unlocker maybe tutaweza unlock maana hata temporary hizi modem hazkubali
 
box ilikuwepo zamani tu . unajua box ni hardware na software yake ndio imekuwa updated may 31 mwaka 2012. kwa maelezo zaidi soma hii Octopus Suite v1.0.6 - added Write Firmware for Huawei E153 and E173 with new security type. na kila fundi simu anayo box yake wanachofanya zikitoka simu mpya wanachukua firmware (software ya hardware) from internet na ku update software zao tu.
pia hizi box zipo za aina nyingi, kila flash box ina uwezo wake tofauti. sijui weye unazungumzia box ya kampuni gani?
pia kuna website inaziunlock kwa bei rahisi chini ya elfu kumi. (online unlocking without box). kuna jamaa hataki kusema ni website gani na yeye anataka elfu kumi kuiunlock modem yoyote ya hapa tz permanetly.
 
Ungekuwa karibu na mimi nimngekufungulia bureeeee.
au nije kwako ili uamini?
nipe moja nikutolee bureeeee, halafu uje hapa uwaeleze watu that nothing is imposible.
calvinpower 2012
 
sahau uchafu huuu.
 
Ungekuwa karibu na mimi nimngekufungulia bureeeee.
au nije kwako ili uamini?
nipe moja nikutolee bureeeee, halafu uje hapa uwaeleze watu that nothing is imposible.
calvinpower 2012

Hebu nipe tips yoyote hata kwa pm ntastrugle myself
 
mkwawa strusture for what? do you know about partition table ya qualcom?
hata huyo octopusy Amejitahidi ila amekwama kwenye sehemu ndogo sana.
kuna hizi field.

for example Qualcomm MSM6246 (cpu)
Page size : 2048 bytes
Block size : 64 pages (128 Kb)
Block count: 1024
Flash size : 128 Mb

MIBIB- ADDRESS 00000000-0013FFFF------------1.28MB
SIM-SECURE- 00140000-001FFFFF----------------792KB
QCSBL-002000000-0031FFFF----------------------1.16MB
0EM SBL1-00320000-0059FFFF--------------------2.57MB
0EM SBL2-005A0000-0081FFFF--------------------2.57MB
AMSS ( firmware)-00820000-01C1FFFF-----------20.6MB
FOTA-01C20000-01D3FFFF-------------------------1.16MB
EFS2 ( NVM,DATA IMEI) 01D40000-02A3FFFF-----13.4MB
MMC (MASS STORAGE) 02A40000--7ADFFFF-----83.1MB
OEM (INFO) 07AE0000-07ADFFFF-------------------5.15MB

ili uweze ku unlock hiz modem ni lazima ubadilishe some fields za AMSS au EFS2.

sasa hizi mpya zina cpu tofauti so fields zinakuwa tofauti na ukibadilisha fields kulingana na software ya fields ulizotengeneza hapo juu lazima modem itazima.
kuna cpu hizi hapa
Qualcomm MSM6290

study arm processor then utaelewa ninachoelezea
http://www.engineersgarage.com/articles/arm-advanced-risc-machines-processors
 
Ungekuwa karibu na mimi nimngekufungulia bureeeee.
au nije kwako ili uamini?
nipe moja nikutolee bureeeee, halafu uje hapa uwaeleze watu that nothing is imposible.
calvinpower 2012
i am impressed mkuu. umewatumia octopus wameshindwa. weye mwenyewe umeweza. sound great. hebu tupe maelezo zaidi umewatumia lini wameshindwa na weye ukaweza kuanzia tarehe gani. na unaitoleaje maelezo hii link ya may 31 2012. hii hapa Octopus Suite v1.0.6 - added Write Firmware for Huawei E153 and E173 with new security type.
nakuambia hivyo kwa uhakika kuwa hizi modem zinaflashika kwa box ya octopus.
 
Back
Top Bottom