Navigator Paul
Member
- Mar 12, 2025
- 64
- 88
Khaaa! Huyo anakula mpaka anavimbiwa, sio mchezo. Ushauri: tafuta chumba kingine upangeWakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi
Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa Jamaa Akirudi Inaweza Fika Saa 9 Anakula Daku Na Mimi Kazi Zangu Za Kuchoka Huwa Tunazima Taa, Ndiyo Angalau Kwa Sababu Na Huku Joto Kali Taa Ukiwasha Inaleta Joto Ukizingatia Hamna Hata Feni Jamaa Akirudi Hazimi Taaa Unamwambia Zima Anasema Subiria Bhnaa Hazimi Haya Kwenye Daku Sasa
Jamaa Anaweza Tumia Hata Dakika 40 Anakula Tu Huku Anasikika Kwa Nguvu Anavyotafuna Nakaa Nawaza Hali Hiii Sio Nzuri Maana Ananikuta Meshapumzika Taa Hazimi Anatumia Muda Mrefu Sana Kula Sio Kwamba Ni Bahati Mbaya Makusudi Tu Ilimradi Wakuu Nifanyaje?
Sawa MkuuuTafutaa Hela mkuu wanaume waliopevuka hawakai geto Moja ,tafutaa hata chumba Cha 25000 Cha Giza uhame hapo mnapokaa mabeberu wawili mix kunusishana harufu za boxa zenu na mbupuu..
Mawazo Tu Msee Hii Hali Sio Nzuri Kabisa Ukizingatia Hamna Feni Jamaa Anatumia Dakika 40 Kula ChakulaHii nchi.
Hapa Mzee sijajua unahitaj tukusaidie nini.
Kuwa muwaz unahitaj tukusaidie nini?
Yaaaani Changamoto Sana MkuuKhaaa! Huyo anakula mpaka anavimbiwa, sio mchezo. Ushauri: tafuta chumba kingine upange
Sawa BrotherPole sana ,pambana mdogo wangu siku upange kwako
Kwanini mnaishi wote?Mawazo Tu Msee Hii Hali Sio Nzuri Kabisa Ukizingatia Hamna Feni Jamaa Anatumia Dakika 40 Kula Chakula
Sawa Mkuu Mekuelewa1. jamaa han ustaarabu
2. hata dini haitaki ulaji huo wa israf
3. kukaa wanaume wazima chumba kimoja jau, hata guest hawaruhusu, bora upange uswahilini ila pekeako.
4. Mchane
Tupo Kwenye Hatua Za Utafutaji Tu Kwahiyo Tupo Na Hata Kodi Tunachangia PiaKwanini mnaishi wote?
Amini amini ushaanza kuchoka kuishi naye. Baadaye utaanza sikia hata pumzi yake ina kishindoWakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi
Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa Jamaa Akirudi Inaweza Fika Saa 9 Anakula Daku Na Mimi Kazi Zangu Za Kuchoka Huwa Tunazima Taa, Ndiyo Angalau Kwa Sababu Na Huku Joto Kali Taa Ukiwasha Inaleta Joto Ukizingatia Hamna Hata Feni Jamaa Akirudi Hazimi Taaa Unamwambia Zima Anasema Subiria Bhnaa Hazimi Haya Kwenye Daku Sasa
Jamaa Anaweza Tumia Hata Dakika 40 Anakula Tu Huku Anasikika Kwa Nguvu Anavyotafuna Nakaa Nawaza Hali Hiii Sio Nzuri Maana Ananikuta Meshapumzika Taa Hazimi Anatumia Muda Mrefu Sana Kula Sio Kwamba Ni Bahati Mbaya Makusudi Tu Ilimradi Wakuu Nifanyaje?
Mwanaume mbona unakuwa na GUBU? Acha kumsimanga mwenzako!Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi
Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa Jamaa Akirudi Inaweza Fika Saa 9 Anakula Daku Na Mimi Kazi Zangu Za Kuchoka Huwa Tunazima Taa, Ndiyo Angalau Kwa Sababu Na Huku Joto Kali Taa Ukiwasha Inaleta Joto Ukizingatia Hamna Hata Feni Jamaa Akirudi Hazimi Taaa Unamwambia Zima Anasema Subiria Bhnaa Hazimi Haya Kwenye Daku Sasa
Jamaa Anaweza Tumia Hata Dakika 40 Anakula Tu Huku Anasikika Kwa Nguvu Anavyotafuna Nakaa Nawaza Hali Hiii Sio Nzuri Maana Ananikuta Meshapumzika Taa Hazimi Anatumia Muda Mrefu Sana Kula Sio Kwamba Ni Bahati Mbaya Makusudi Tu Ilimradi Wakuu Nifanyaje?
Lakini Ndiyo Ukweli UliopoMwanaume mbona unakuwa na GUBU? Acha kumsimanga mwenzake!
Hahahahahah 😂Amini amini ushaanza kuchoka kuishi naye. Baadaye utaanza sikia hata pumzi yake ina kishindo