technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,646
- 58,443
Ni Remote Control.Sidhani Kama ametuzidi akili watu wote milioni 70
Sidhani kama ni kweli sizani ni vile tunamchukulia poa hatumchukulii serious kulingana na haiba yake ya nje but kwa ndani anafanya mambo ya hatari.
Bado namsoma soma huyu jamaa kuelekea siku za mwisho mwisho za kiutawala toka mwaka 1985-2026.
Ingawa file lake ni zito ni zito mno mno.
Who si Kikwete je Kikwete ni nani tunaomba historia yake kwa mtu anayemjua vizuri kabla hajaondoka madarakani.
Ni mtanzania mzalendo aliyeiongoza Tanzania kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.Sidhani Kama ametuzidi akili watu wote milioni 70
Sidhani kama ni kweli sizani ni vile tunamchukulia poa hatumchukulii serious kulingana na haiba yake ya nje but kwa ndani anafanya mambo ya hatari.
Bado namsoma soma huyu jamaa kuelekea siku za mwisho mwisho za kiutawala toka mwaka 1985-2026.
Ingawa file lake ni zito ni zito mno mno.
Who si Kikwete je Kikwete ni nani tunaomba historia yake kwa mtu anayemjua vizuri kabla hajaondoka madarakani.
Aliongoza hakutawala, hatuchagui mtawala bali kiongozi. Rekebisha hapo.Ni mtanzania mzalendo aliyeitwala Tanzania kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.
Katika uongozi wake nchi ilishuhudia mapinduzi ya ukuaji wa demokrasia, uanzishaji wa viwanda vipya pamoja ukuaji mkubwa wa ajira kwa vijana wa kitanzania.
Hakika ni kiongozi ambaye watz wengi wanamkumbuka kama ambavyo atakumbukwa Dr Samia S Hassan.
No jamaa mmoja mafia sana anaye kuua huku mnacheka pamojaSidhani Kama ametuzidi akili watu wote milioni 70