MANYEMA2013
Senior Member
- Aug 3, 2013
- 118
- 52
Tuoneshe wapi kwenye ripoti ya CAG, TAKUKURU inapoonesha Mhongo kafanya makosa.
It looks like you have some difficulties in understanding ........................... he's trying to say that the dudes survived because the report was too weak!! Can't you get it.......!!.
dah i feel sorry for u and warioba
a person who can't find any positives in any situation always defensive
its a sign of depression and serious mental disorders
don't get carried away with emotion babu zitto and his kamati nawapa credits what u wud u do in zitto place??
Katika michango yangu mingi kwenye hili swala la Escrow nimezungumzia sana kuwa hawa jamaa wamesurvive kwa vile repot ya PAC ilikuwa too weak. Pamoja na ushahidi kuwa overwhelming kuliko wa Richmond bado walishindwa kuja na report ya nguvu. Hiyo report ilikuwa ndiyo uwezo wao pamoja na kukesha. Niliwashangaa kuwakaribisha watu kama wakina Kingwang'ala badala ya design za akina Mwakyembe. Nawaelewa walitaka kupandisha profile yao kuwa vijana wanaweza but it backfired big time. FF aliiona mapema akatahadharisha watu lakini only few people understood her. Halafu kuna tu kesho atakuja dai eti Zitto ni presidential material ....................what a joke!!
Huyu mzee anaka kujivunjia heshima
Mzee warioba naona kachanganyikiwa sasa, udhaifu wa ripoti ya PAC ukwap? na wakati wao wametohoa data za CAG? Hebu acheni kukatisha watu tamaa.
Asome nini wakati umetuwekea kichwa cha habari na habari yenyewe imepigwa password? Ndio maana kila mtu ana guess opinions za Warioba.
Katika michango yangu mingi kwenye hili swala la Escrow nimezungumzia sana kuwa hawa jamaa wamesurvive kwa vile repot ya PAC ilikuwa too weak. Pamoja na ushahidi kuwa overwhelming kuliko wa Richmond bado walishindwa kuja na report ya nguvu. Hiyo report ilikuwa ndiyo uwezo wao pamoja na kukesha. Niliwashangaa kuwakaribisha watu kama wakina Kingwang'ala badala ya design za akina Mwakyembe. Nawaelewa walitaka kupandisha profile yao kuwa vijana wanaweza but it backfired big time. FF aliiona mapema akatahadharisha watu lakini only few people understood her. Halafu kuna tu kesho atakuja dai eti Zitto ni presidential material ....................what a joke!!
tatizo unachangia kwa ASHKI ndio maana huelewi hoja ya mzee wetu warioba.
kama unachangia kwa kutumia mahaba na ASHKI kwa chama chako utaelewaje?
is it a sin to voice the negative side of the report? no one has said the report deserves nothing but the issue is that it was not 100% perfect. this's what warioba is lamenting. understand?
Kama ni dhaifu tengeneza yakwako tumfukuze rais
Hivi mtaendelea kudanganyika na usafi bandia wa Mbowe mpaka lini?ZZK na Mbowe wote wanahusishwa na kadhia hii ya ESCROW, Kufa kwa kashfa ya ESCROW ndiyo kupona kwake kisiasa!watanzania ktk ubora wetu......tunaikataa kazi yote waliyofanya PAC kwa chuki zetu binafsi....
kama ripoti ilikuwa dhaifu....wabunge wa upinzani walikatazwa kuiboresha ktk michango yao au kupitia maazimio
kama ripoti ya PAC ilikuwa dhaifu...kwann msemaji wa kambi ya upinzani aliiunga mkono
kama ripoti ilikuwa dhaifu kwann wabunge hawakutoa maazimio yenye nguvu zaidi kuliko yale ya PAC
tuache chuki.... ripoti ya PAC ilikuwa thabiti...na walifanya kazi nzur
hapa anatafutwa ZZK aonekane mbaya hakuna jipya
MZee hajakosea..Mimi nilioona kabisa report ilikuwa ikitushambulia watu fulani na kuacha fulani.Hiwezekani bank chache zikatajwa na kutaka zishambulia bila kuweka angalizo kwanini nyingine hazikuwekwa.Yule dada waziri wa fedha siamini kwanini kaachwa.Ila ni rahisi sana establish pattern ktk report ya Zitto na ukizingatia tabia yake tangu mwanzo hakuna ubishi huyu jamaa upuuzi hajaacha. KITENDO CHA ZITTO KUSUPPORT "PHRASE YA FISADI CHENGE " Niliona ubaya za zitto ktk kujifanya anajua kuwa kasuku,Baadae akachomekea kwa nidhamu mbaya kabisa kuwa sasa kachoka.Hapa ZItto alijua kuwa alichosema chenge kingekubalika Blindly na UKAWA then ingefikia kwa WEREMA NA PINDA basi mafisadi wangekuwa washindi na Zitto km kibaraka wao angekuwa shujaa.This boy was another kamikaze stuntman in the HOUSE.
Ha ha ha ha ha haaaaaah, mkuu wengine wanachangia kwa kukurupuka bila kuangalia maudhui ya threadIt looks like you have some difficulties in understanding ........................... he's trying to say that the dudes survived because the report was too weak!! Can't you get it.......!!.
Warioba ni wa chama kipi?