Lumumba buku jero anajuanini unapoteza muda wakoWewe usiyebebwa umeacha impact gani kwenye Taifa? Mtu katoa mchango mkubwa kwenye tasnia ya sheria Tz na duniani kote (Expert Law of the Sea) pengine ukiwa mtoto enzi hizo leo hii umekuta nchi inatawalika unaanza kukejeli tu waasisi.
wewe tu ndio hukumsikia.Mbona kipindi cha mwenda zake hakuongea kitu huyu
mbiu ya mgamboNgoja tuone...
Chaga Gangster.Haina uhusiano
Mchango gani? The guy is a loser, ndio sababu bado anahaha tu. His time is finished and no one will respect him.Wewe usiyebebwa umeacha impact gani kwenye Taifa? Mtu katoa mchango mkubwa kwenye tasnia ya sheria Tz na duniani kote (Expert Law of the Sea) pengine ukiwa mtoto enzi hizo leo hii umekuta nchi inatawalika unaanza kukejeli tu waasisi.
Usimsahau Kabudi.Ukishakuwa sio mchumia tumbo basi akili zinaishi milele. Sio kama akina Mwigulu na Kigwangala
Huyo ndio Big figure kwenye kundiUsimsahau Kabudi.
Loser kivipi? Mtu kaitwa EU huko akaongoza mahakama za kimataifa na kasaidia kutungwa kwa sheria nyingi mnoo za kimataifa hasa kwenye law of the sea then unasema ni useless?? Have some respect..... His glory days zilikua enzi hizo ukiwa mtoto, now kaacha legacy mataifa mengi mnoo.Mchango gani? The guy is a loser, ndio sababu bado anahaha tu. His time is finished and no one will respect him.
It doesn't matter bado haikupi audacity ya kukejeli legacy ya Warioba....BTW you never know the massive contribution I made for Tanzania
Ni kwamba katiba iliyopo imeshachakaa, ila tunaipiga viraka juu ya virakaJaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya.
Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote.
Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya Uchaguzi lakini bila kuwa na demokrasia katika vyama changamoto hazitakuwa zimetatuliwa.
Warioba ndiye kiongozi mstafu pekee mwenye msimamo asiyegeuzwa na upepoLoser kivipi? Mtu kaitwa EU huko akaongoza mahakama za kimataifa na kasaidia kutungwa kwa sheria nyingi mnoo za kimataifa hasa kwenye law of the sea then unasema ni useless?? Have some respect..... His glory days zilikua enzi hizo ukiwa mtoto, now kaacha legacy mataifa mengi mnoo.
It doesn't matter bado haikupi audacity ya kukejeli legacy ya Warioba....
Ndio mnavyozuga, ati kaitwa EU, upuuzi mtupu, mahakama ipi hiyo aliyoongoza EU? Tuanzie hapo! The guy is bogus.Loser kivipi? Mtu kaitwa EU huko akaongoza mahakama za kimataifa na kasaidia kutungwa kwa sheria nyingi mnoo za kimataifa hasa kwenye law of the sea then unasema ni useless?? Have some respect..... His glory days zilikua enzi hizo ukiwa mtoto, now kaacha legacy mataifa mengi mnoo.
It doesn't matter bado haikupi audacity ya kukejeli legacy ya Warioba....
hahahaNi kwamba katiba iliyopo imeshachakaa, ila tunaipiga viraka juu ya viraka
Ndio mnavyozuga, ati kaitwa EU, upuuzi mtupu, mahakama ipi hiyo aliyoongoza EU? Tuanzie hapo! The guy is bogus.
What respect, you said ''Kaitwa EU? Sasa EU ndio UN? Wacha kamba unakurupuka na kuandika habari ambayo kwanza huijui then unadai respect, what respect? Kama ungekuwa mkweli usingeingiza EU. Tujadili mambo kwa fact sio kuokoteza na kumpamba mtu laghai ambaye anaendelea kushiba na kutunisha tumbo kwa pesa za walipa kodi ambao hakuwatende haki wakati wa uongozi wake. Katika viongozi wabovu Tanzania yeye ni mojawapo. Atulie ale pension yake ambayo sidhani kama ana deserve. Ati legacy, legacy my foot.International Tribunal for the Law of the Sea ipo chini ya UN na inapatikana Ujerumani. Warioba alikua Jaji tokea 1996- 2008.
Have some respect.... Sidhani kama utaweza kufikia hta 10% ya legacy yake hata ufike 2050!!
UN ni superior Kwa EU so I actually underestimated his eminence! Mtu ameshakua Waziri Mkuu kwani Mwalimu hakuona wengine? Kastaafu ila bado kaitwa kuongoza mabadiliko ya katiba then anakuja lofa mmoja wa UVCCM (ambaye hata mtaani kwake hana alicho impact jamii yake) ku disqualify credibility ya Mzee Warioba.What respect, you said ''Kaitwa EU? Sasa EU ndio UN? Wacha kamba unakurupuka na kuandika habari ambayo kwanza huijui then unadai respect, what respect? Kama ungekuwa mkweli usingeingiza EU. Tujadili mambo kwa fact sio kuokoteza na kumpamba mtu laghai ambaye anaendelea kushiba na kutunisha tumbo kwa pesa za walipa kodi ambao hakuwatende haki wakati wa uongozi wake. Katika viongozi wabovu Tanzania yeye ni mojawapo. Atulie ale pension yake ambayo sidhani kama ana deserve. Ati legacy, legacy my foot.