Mzee Warioba hakuwa mwenyekiti wa tume ya maoni ya wananchama wa CCM kuhusu katiba, ila alikuwa ni mwenyekiti wa tume ya kitaifa, ila kumbuka jana mzee Warioba alisimama kama mwanachama wa CCM, jaribu kuangalia hiyo tofauti
....mleta uzi, kama hukumshangaa Lowassa kupokelewa CHADEMA huna sababu ya kumshangaa Warioba. Mkuki kwa Nguruwe...
Ukawa ni wapumbavu na malofa sumaye anawadharau kisha mnampkea sio kila kinachon'gaa ni dhahabu mengine mavi mtanyooka tu
Ikumbukwe kuwa Jaji Warioba alikuwa akizunguka kutoa elimu ya uraia pamoja na kueleza wananchi jinsi maoni yao yalivyotupwa kwenye rasimu ya katiba jambo ambalo lilifanya atukanwe, adhihakiwe, adharauliwe na hata kudaiwa kupigwa.
Kilichonishangaza ni yeye kusimama jana na kupiga kampeni kwa wagombea, wakati kwanza chama hicho ndo kilihusika kusigina maoni ya wananchi, pili mmoja wa wagombea alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba sasa Mh. Warioba ulikuwa unazunguka kufanya nini kwa wananchi ikiwa leo una wanadi waliosigina maoni ya wananchi?
Sikutegemea kwa kweli, sasa vipi ile rasimu ya wananchi ndo huitetei tena? Nimewaza kwa sauti wajamaeni.

Inasikitisha kuona mtu mzima kupiga u turn kiasi hiki. Mungu jalia kizazi hiki kiwe cha msimo,tuondoshe unafiki wa walio tuzidi.
Makonda ,big up ulifanya kazi nzuri sana kumtwanga huyu mzee makonde hana msimamo
Alikuwa kwaajili ya masilahi ya ccm na ndiyo maana anawapigia debe eti atushawishi sisi Malofa tuwachague.
Kama ni Katiba aliyeisigina ni Samia Suluhu, sasa tutapata katiba kweli.
Warioba amepiga U turn katika kitu gani?
Kaikataa katiba aliyoiwakilisha?
Alijiunga na chama cha upinzani na sasa karudi CCM?
Kwa nini mnapenda ku assume assume sana?
Sikiliza kuanzia dakika ya 3.00 anaungana na waliokata kazi yake/maoni ya wananchi ndani ya Katiba Pendekezwa aliyowasilisha kama Mwenyekiti wake.
Mzee wetu angetulia nyumbani tungezidi kumueshimu zaidi hizi siasa amefanya miaka mingi angepumzika kwa matusi na dharau aliyofanyiwa kwenye binge la katiba,mzee kazingua kwelikweli
Shukurani kwa kiweka video, kitu kinachomaliza ubishi.
Wapi kasema hivyo? Nimeangalia hapo dakika 3:00 sojaona hilo unalosema.
Mbona unataka kusikia ambalo halijasemwa na lililosemwa usisikie?
Warioba kasema msimamo wake ni ule ule, kwamba anataka katiba inayowakilisha maoni ya wananchi. Katiba ambayo itapitia mchakato wa bunge la katiba.
Sasa Warioba katofautiana kimsingi kabisa na UKAWA katika mambo kama haya, bado unamtegemea aungane na UKAWA?
UKAWA this Frankenstein monster that was patched together for the mere greed of getting power?
CHADEMA nao walikuwa na kipaumbele cha kuuvunja muungano?
Warioba apigie kampeni kitu ambacho hakiamini?Kwa kisa gani?
Kwa sababu watu mmeshindwa kumsoma na kuona kwamba pale aliposimamia katiba ya kutokana na maoni ya wananchi, na kukosana na CCM, mkaona kwamba kasha jiunga na UKAWA?
Tatizo mna assume sana bila upembuzi kamili.
UKAWA this Frankenstein monster that was patched together for the mere greed of getting power?
Bado na heshimu uwezo wako wa kuona mambo!
UKAWA imetokana na nini?
Nini alikuwa anapinga Warioba kilichofanywa na Chama chake dhidi ya Katiba Mpya na je kwa sasa hicho kimeisha?
Yaani Mchakato wa Katiba ya wananchi kupitia wale wale waliomkejeli na makumshika masharti?
Sidhani kama watu walitegemea aje UKAWA lakini kama mtu mzima na heshima zake alitakiwa kuendelea kulikemea kilichofanywa na Chama chake-lakini kala matapishi yake na huo ndio huru wa Demokrasia na Fikra.
Sijui hili unaliwaza kwa staili ya Mwanachama Mwaminifu wa CCM au anayefikiri kwa uhuru wake?
Kwani CCM siwamekaa miaka 50 magogoni sasa nguvu zote hizi za kung'ang'ania na kuendelea kutawala hamzioni na siyo Tamaa?