Nimeeleza togauti za Warioba na UKAWA hata pale Warioba alipokuwa anapingana na uongozi wa CCM.
Umeamua kutoziona tofauti hizo.
Unajuaje kwamba Warioba hakemei chama chake ndani ya vikao vyao? Unajuaje kwamba Warioba hatafuti influence ndani ya CCM kuubadilisha msimamo wa chama kihusu katiba kutoka ndani ya chama? Unajuaje matumaini ya mabadiliko haya ya uongozi katika irais na baadaye uenyekiti wa CCM yanavyomaanisha kwa saiti za watu kama kina Warioba kusikilizwa zaidi?
Mbona hujajibu kuhusu tofauti za msingi kabisa kati ya Warioba na UKAWA?
Kwa nini mnataka kumpangia mtu chama cha kukiunga mkono, na asipounga mkono kama mnavyofikiri nyinyi mnamuita kila jina?
Nimeuliza kama mnajua iraribwa mambo yote mazuri na mabaya alivyoyapima Warioba, kipaumbele chake na alivyopima kwa kulinganisha UKAWA na CCM, hujanipa jibu la swali hilo.
Kama hujanipa jibu la swali hilo, huna haki ya kimpangia Warioba aunge mkono chama gani.
UKAWA si wana Lowassa na Sumaye tayari, hao hawatoshi?
Wakati ule anapromoshewa Matusi vikao vya ndani vilikuwa vimepigwa mafuruku ndani ya CCM?
Je kwa maoni yako CCM watarudi nyuma na kuanza upya Mchakato wa Katiba mpya siyo?
Nimeweka wazi kuwa hakuna anayesema aje UKAWA muhimu azungumze wazi wazi kama alivyofanya awali kinyume na hapo ni suala la Masilahi Binafsi tu.
Kumbe unahofu kwanini uleta madai ya fulani na fulani wanatosha kwani kuna mwisho wa idadi ya Wanachama?