Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,962
- 146,245
ni bora angakaa kimya. Kamenikera sana haka kababu.
Mtu kutumia haki yake ya kikatiba anakukera wewe?
Kwani wewe umekatazwa kufanya kampeni kwa maoni yako?
ni bora angakaa kimya. Kamenikera sana haka kababu.
siasa za ukanda ndo zinazomgharimu ivi hamjashtuka tu jamani mbona iko wazi magufuli naye ana harufu ya ukanda wa ziwaikumbukwe kuwa jaji warioba alikuwa akizunguka kutoa elimu ya uraia pamoja na kueleza wananchi jinsi maoni yao yalivyotupwa kwenye rasimu ya katiba jambo ambalo lilifanya atukanwe, adhihakiwe, adharauliwe na hata kudaiwa kupigwa.
Kilichonishangaza ni yeye kusimama jana na kupiga kampeni kwa wagombea, wakati kwanza chama hicho ndo kilihusika kusigina maoni ya wananchi, pili mmoja wa wagombea alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba sasa mh. Warioba ulikuwa unazunguka kufanya nini kwa wananchi ikiwa leo una wanadi waliosigina maoni ya wananchi?
Sikutegemea kwa kweli, sasa vipi ile rasimu ya wananchi ndo huitetei tena? Nimewaza kwa sauti wajamaeni.
hasara ambayo mimi nimeipata kutokana na warioba kufungamana na ccm haisemeki , wakati wa vuguvugu la katiba mpya mke wangu alijifungua mtoto wa kiume , kwa heshima ya huyu mzee nikampachika mwanangu jina la warioba , sasa katika hali kama hii nafanyaje ?
Kippi Warioba anagombea ubunge kupitia CCM. Mshua kaamua kuweka maslahi ya familia mbele na kuikana Katiba ya Wananchi. Ni gamba tu na yy.
Hoja yako haina mashiko, jaji warioba hakuwa upande wa upinzani hara mara moja,alitimiza wahibu wake kwa wananchi si kwa ukawa pekee(tafadhali usizingatie tafsiri ya ukawa hapa).Ikumbukwe kuwa Jaji Warioba alikuwa akizunguka kutoa elimu ya uraia pamoja na kueleza wananchi jinsi maoni yao yalivyotupwa kwenye rasimu ya katiba jambo ambalo lilifanya atukanwe, adhihakiwe, adharauliwe na hata kudaiwa kupigwa.
Kilichonishangaza ni yeye kusimama jana na kupiga kampeni kwa wagombea, wakati kwanza chama hicho ndo kilihusika kusigina maoni ya wananchi, pili mmoja wa wagombea alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba sasa Mh. Warioba ulikuwa unazunguka kufanya nini kwa wananchi ikiwa leo una wanadi waliosigina maoni ya wananchi?
Sikutegemea kwa kweli, sasa vipi ile rasimu ya wananchi ndo huitetei tena? Nimewaza kwa sauti wajamaeni.
Namuheshimu sana Jaji Warioba, lakini kwa hili la kukubali kutumika pamoja na kutukanwa sana na kupigwa kwa baraka ya chama hicho hicho, na bado akasimama nao jana linampunguzia sana heshima kwangu.. Nakumbuka Bulembo alivyomtukana huyu mzee and yet jana wakawa jukwaa moja..!
Mbona Hujamshangaa Mbowe Kupokea Makapi Kutoka Ccm Wakati Yalisigina Katiba Pia Mpaka Ukawa Ukaundwa?
asante nimechukua hiyo ya pili maana imeifuta ile ya kwanza .Moja.
Nani kakutuma umpe mtu jina la mtu ambaye hajafa bado na historia yake bado inaandikwa?
Pili,
J. S Warioba does not own that name. Kina kina Warioba mpaka kina Ryoba.
Sasa tatizo lako liko wapi?