Jaji Sinde Warioba kanishangaza

Jaji Sinde Warioba kanishangaza

Tutashangaa sana mwaka huu!

Mwisho wa siku tutakuja kujua kwamba wanasiasa asilimia kubwa wako kimaslahi!

Leo UKAWA wanawakaribisha watu waliosababisha wao watoke Bungeni, tena kugombeaa urais!

Jaji Warioba, Mzee Butiku, Polepole na wanaitetea CCM kama siyo iliyowatukana kwenye Bunge La Katiba!
 
....mleta uzi, kama hukumshangaa Lowassa kupokelewa CHADEMA huna sababu ya kumshangaa Warioba. Mkuki kwa Nguruwe...
 
....mleta uzi, kama hukumshangaa Lowassa kupokelewa CHADEMA huna sababu ya kumshangaa Warioba. Mkuki kwa Nguruwe...

kaka hawa madodoki huwa wanataka watu wote tuwe na mawazo kama wao, Ben hakukosea kabisa kuwatukana, eti wanamshangaa Warioba na hawamshangai Lowassa au sumaye
 
Yawezekana ameahidiwa ubunge kwa mtoto wake. Hivi huyu Kipi Warioba ni mtoto wa Jaji Sinde Warioba?
 
Namuheshimu sana Jaji Warioba, lakini kwa hili la kukubali kutumika pamoja na kutukanwa sana na kupigwa kwa baraka ya chama hicho hicho, na bado akasimama nao jana linampunguzia sana heshima kwangu.. Nakumbuka Bulembo alivyomtukana huyu mzee and yet jana wakawa jukwaa moja..!

Huna lakumfanya hagombei wala hakujui
 
Tutashangaa sana mwaka huu!

Mwisho wa siku tutakuja kujua kwamba wanasiasa asilimia kubwa wako kimaslahi!

Leo UKAWA wanawakaribisha watu waliosababisha wao watoke Bungeni, tena kugombeaa urais!

Jaji Warioba, Mzee Butiku, Polepole na wanaitetea CCM kama siyo iliyowatukana kwenye Bunge La Katiba!

Tabu watu wameshikiliwa akilizao
 
Ikumbukwe kuwa Jaji Warioba alikuwa akizunguka kutoa elimu ya uraia pamoja na kueleza wananchi jinsi maoni yao yalivyotupwa kwenye rasimu ya katiba jambo ambalo lilifanya atukanwe, adhihakiwe, adharauliwe na hata kudaiwa kupigwa.

Kilichonishangaza ni yeye kusimama jana na kupiga kampeni kwa wagombea, wakati kwanza chama hicho ndo kilihusika kusigina maoni ya wananchi, pili mmoja wa wagombea alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba sasa Mh. Warioba ulikuwa unazunguka kufanya nini kwa wananchi ikiwa leo una wanadi waliosigina maoni ya wananchi?

Sikutegemea kwa kweli, sasa vipi ile rasimu ya wananchi ndo huitetei tena? Nimewaza kwa sauti wajamaeni.

Akili ilipomrudia akagundua ameshachukua mshiko wake ana shida gani tena!
 
Warioba kaamua kuwa rangi mbili.kama polepole ndio.maana kumbe yule aliyepewa ukuu wa wilaya alimzabua kanudhi.sna watu
 
Tatizo tumbo na kuhakikishiwa ulinzi kwenye maslahi yake binafsi.

Anatetea biashara zake mkuu!! Sioyeyetu, wote ulioona hapo wameambiwa Lowasa akiingia malizao wanazomiliki kinyume nasheria atazitaifisha nakuzirudisha mikononi mwa UMMA.

Ndomaana wote wametoka huko kama masimba yaliyojeruhiwa ilikujaribu kuzuia jamaa asiingie maana wanajua wanakaribia kuumbuka watu wazima.

Kwahiyo tusiwashangae ukweli ndohuo.
 
DC Paul Makonda pia alikuwepo kwenye uzinduzi huo...? (Nauliza tu).
 
Mzee ana tatizo na mgombea wa UKAWA kwa hiyo ameona mbadala wake aendelee kuipigia debe CCM.
Amesema ye yuko kwenye timu itakayopita mikoa yote ikitangaza ilani ya chama.
Ndo kazi yake
 
Ukawa ni wapumbavu na malofa sumaye anawadharau kisha mnampkea sio kila kinachon'gaa ni dhahabu mengine mavi mtanyooka tu
 
ulivyoshangaa kuhusu warioba ni kama mimi navyoshangaa kuhusu mgombea urais wa chadema karibu miaka nane walikuwa wanazunguka wanamwita fisadi leo wanampa nafasi ya kugombea urais na ufisadi hawauzungumzii tena
 
Ikumbukwe kuwa Jaji Warioba alikuwa akizunguka kutoa elimu ya uraia pamoja na kueleza wananchi jinsi maoni yao yalivyotupwa kwenye rasimu ya katiba jambo ambalo lilifanya atukanwe, adhihakiwe, adharauliwe na hata kudaiwa kupigwa.

Kilichonishangaza ni yeye kusimama jana na kupiga kampeni kwa wagombea, wakati kwanza chama hicho ndo kilihusika kusigina maoni ya wananchi, pili mmoja wa wagombea alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba sasa Mh. Warioba ulikuwa unazunguka kufanya nini kwa wananchi ikiwa leo una wanadi waliosigina maoni ya wananchi?

Sikutegemea kwa kweli, sasa vipi ile rasimu ya wananchi ndo huitetei tena? Nimewaza kwa sauti wajamaeni.

Nini maana ya UKAWA? Nadhani walioanzisha UKAWA hawana budi kuitetea katiba tunayoitaka wananchi. Tumbuke kuwa mzee Warioba ni CCM tusitegemee kwamba kila siku ataiponda CCM halafu hakuna sababu ya msingi kumbebesha mzee Warioba mzigo mzito peke yake kwasababu katiba ni yetu sote!
 
Anatetea biashara zake mkuu!! Sioyeyetu, wote ulioona hapo wameambiwa Lowasa akiingia malizao wanazomiliki kinyume nasheria atazitaifisha nakuzirudisha mikononi mwa UMMA.

Ndomaana wote wametoka huko kama masimba yaliyojeruhiwa ilikujaribu kuzuia jamaa asiingie maana wanajua wanakaribia kuumbuka watu wazima.

Kwahiyo tusiwashangae ukweli ndohuo.

Fisadi Lowassa hana ubavu huo kama kweli akiwa Rais wa nchi hii mwambieni kwanza aanze kutaifisha zake!
 
Back
Top Bottom