Jaji Sinde Warioba kanishangaza

Jaji Sinde Warioba kanishangaza

Hiyo delusion yako iko worse kuliko UKIMWI.

Tatizo huwezi au hujataka kuelewa.

Nimemtetea Warioba kwamba yuko sahihi in so far as anatumia uhuru wake wa kikatiba kujihusisha na chama anachokitaka.

Nimemtetea Warioba in so far as being logically consistent.

Kilicho nyuma ya pazia na huo uhuru wa Kikatiba ni hiki hapa.Anyway siyo dhambi kwa baba Waziri Mkuu na mtoto naye akawa Waziri Mkuu.Umeona ugumu wa kuwa Mnyoofu-huku kunaitwa kaa kimya kwa hiari-kupitia mlango wa Masilahi Binafsi mbele kwanza.

Miongoni mwa watu niliokua nawaheshimu duniani huyu mzee alikuwemo,lkn niseme kwamba sintamuheshimu tena kwa unafiki aliouonyesha asubuhi na mapema,ni bora hata alivyodundwa na Makonda.
 
Unachekelea mapigano inaonekana huna hata hiyo heshima unayoisema.

Wenye kujua heshima hawawezi kuchekelea na kusema ni bora mzee wa watu apigwe na kijana, bila kujali chama cha kisiasa cha huyo mzee wala kijana.

Watanzania tunaelelea wapi huku? Watu tunaanza kusema maneno ya kijinga kama haya ya kukubali ustaarabu wetu wa pamoja wa kukubali kuwa tofauti bila ugomvi?

Hivi Warioba hana hakibyake yabkikatiba kukifanyia kampeni chama anachokipenda yeye?

Unafiki alioufanya Warioba ni upi?

Kutokubaliana na chama chako ndiyo unafiki?

Unaweza kuuelezea kwa detail unafiki wa Warioba?
 
Kilicho nyuma ya pazia na huo uhuru wa Kikatiba ni hiki hapa.Anyway siyo dhambi kwa baba Waziri Mkuu na mtoto naye akawa Waziri Mkuu.Umeona ugumu wa kuwa Mnyoofu-huku kunaitwa kaa kimya kwa hiari-kupitia mlango wa Masilahi Binafsi mbele kwanza.

Kippi Warioba alipigwa chini na CCM kugombea ubunge Kawe 2010.

Kama Warioba angekuwa mtu cheap hivyo kwa nini hakutoka CCM then?

Warioba kaombwa na UKAWA kugombea urais. Kabla ya Lowassa. Kakataa. Warioba kwangu mimi angekuwa mgombea wa urais wa UKAWA convincing kuliko Lowassa.

Lakini Mzee wa watu hakuendekeza uroho wa madaraka. Kakataa kugombea urais kwa tileti ya UKAWA.

Sasa unawezaje kusema myu huyu ana motivation ya maslahi binafsi ya mwanawe kugombea ubunge wa Kawe kama yeye mwenyewe kakataa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya UKAWA?

Does that make sense?
 
Kiranga, kwa mbali ningeweza kukubaliana na wewe ila kumbuka kwa kiongozi wa ngazi ya juu ndani CCM kufanya alilofanya Lowassa si rahisi. Wako viongozi wengi tu ambao kama wangekuwa na uhuru huo wangekuwa wameshatoka zamani lakini hawana ujasiri huo. Labda utauliza kwa nini hawana ujasiri huo na kwa nini Lowassa na Sumaye wameweza kuitosa CCM.

Kama unafuatilia bila shaka umeona mashambulizi yanayoelekezwa kwa Lowassa...ni kama vile Lowassa ndiye alibeba madhambi yote ya CCM na wakienda mbali wako wanaodai CCM sasa ni safi kwa sababu hiyo. Watu kama Warioba hawana ujasiri huo...Warioba alipojaribu kukomaa tu kutetea alichoamini ni katiba iliyozingatia maoni ya wananchi ulishuhudia yaliyomkuta hadi vijana waliodaiwa kuongoza mashambulizi dhidi yake wakatunukiwa vyeo. Warioba mwanzoni aliamini ana wafuasi ndani ya chama ambao wangemtetea lakini akajikuta peke yake na timu yake.

Hivyo alipopigwa biti kidogo tu huyoo akasalimu amri, akanyamaza na sasa yuko kwenye timu ya Magufuli akiilaumu UKAWA kwa msimamo wao kuhusu katiba. CCM gave him an offer he couldn't refuse because he realized they held all the four aces! Kwa Lowassa sivyo, they don't hold all the four aces and if anything it is he who holds the trump card. To face Lowassa, the three Mwinyi, Mkapa and Kikwete have to join forces; in actual fact they must join forces in the hope thet together they cam weather the storm. Mpaka sasa Lowassa yuko kimya, anajua amewashika pabaya na ujio wa Sumaye umezidi tu kupigilia msumari kwenye jeneza.

Watu wame panic, si kidogo bali sana tu. Kuliko nchi iangukie mikononi mwa Lowassa, watafanya kila waliwezalo kuhakikisha hilo halitokei. Kwa sasa naishia hapa.
 
Kiranga, kwa mbali ningeweza kukubaliana na wewe ila kumbuka kwa kiongozi wa ngazi ya juu ndani CCM kufanya alilofanya Lowassa si rahisi. Wako viongozi wengi tu ambao kama wangekuwa na uhuru huo wangekuwa wameshatoka zamani lakini hawana ujasiri huo. Labda utauliza kwa nini hawana ujasiri huo na kwa nini Lowassa na Sumaye wameweza kuitosa CCM.

Kama unafuatilia bila shaka umeona mashambulizi yanayoelekezwa kwa Lowassa...ni kama vile Lowassa ndiye alibeba madhambi yote ya CCM na wakienda mbali wako wanaodai CCM sasa ni safi kwa sababu hiyo. Watu kama Warioba hawana ujasiri huo...Warioba alipojaribu kukomaa tu kutetea alichoamini ni katiba iliyozingatia maoni ya wananchi ulishuhudia yaliyomkuta hadi vijana waliodaiwa kuongoza mashambulizi dhidi wote wametunukiwa vyeo. Warioba mwanzoni aliamini ana wafuasi ndani ya chama ambao wangemtetea lakini akajikuta peke yake na timu yake.

Hivyo alipopigwa biti kidogo tu huyoo akasalimu amri, akanyamaza na sasa yuko kwenye timu ya Magufuli akiilaumu UKAWA kwa msimamo wao kuhusu katiba. CCM gave him an offer he couldn't refuse because he realized they held all the four aces! Kwa Lowassa sivyo, they don't hold all the four aces and if anything it is he who holds the trump card. To face Lowassa, the three Mwinyi, Mkapa and Kikwete have to join forces; in actual fact they must join forces in the hope thet together they cam weather the storm. Mpaka sasa Lowassa yuko kimya, anajua amewashika pabaya na ujio wa Sumaye umezidi tu kupigilia msumari kwenye jeneza.

Watu wame panic, si kidogo bali sana tu. Kuliko nchi iangukie mikononi mwa Lowassa, watafanya kila waliwezalo kuhakikisha hilo halitokei. Kwa sasa naishia hapa.

Lowassa angekuwa convincing zaidi kama angetoka CCM kabla ya kukatwa.

Sasa hivi anaonekana kama anataka urais tu.

Kama Lowassa asingekatwa na angechaguliwa kuwa mgombea wa CCM angekuwa na ujasiri wa kuikana CCM?

Au anaikana CCM sasa tu kwa sababu kakatwa?

Bado naamini Warioba yuko motivated by principle than machinations. Anaona wakati huu wa kuingia kwa rais mpya kuna an opportunity of reshuffling the cards na yeye anataka kuji position kama mtu influential. There is nothing wrong with that, especially if haamini kama UKAWA wako tayari kuendesha nchi.
 
Last edited by a moderator:
Yeye na polepole wanajipendekeza baadaye rasimu yao ikubalike na chama chao nitaendelea kuwashangaa waliotoka ccm wana nia halisi ya kuiendeleza sijui wana matatizo gani vichwani mwao kwa sababu wanayedai fisadi kaikubali rasimu kuwabana wasio na maadili sasa hasa wanachotaka nini ? siwaelewi nisaidieni jamani
 
Lowassa angekuwa convincing zaidi kama angetoka CCM kabla ya kukatwa.

Sasa hivi anaonekana kama anataka urais tu.

Kama Lowassa asingekatwa na angechaguliwa kuwa mgombea wa CCM angekuwa na ujasiri wa kuikana CCM?

Au anaikana CCM sasa tu kwa sababu kakatwa?

Bado naamini Warioba yuko motivated by principle than machinations. Anaona wakati huu wa kuingia kwa rais mpya kuna an opportunity of reshuffling the cards na yeye anataka kuji position kama mtu influential. There is nothing wrong with that, especially if haamini kama UKAWA wako tayari kuendesha nchi.

Ndugu kiranga nilivyomuelewa mm lowasa anandoto ya urahisi na anamipango aiwezi timia bila ya kofia ya urais hivyo lazma afight ili mipango yake aitimize inshot anasumu ngoja afanikiwe utaiona na wapinzani wake wanajua endapo.....!!! Watahama nchi
 
Watanzania wana kazi ngumu uchaguzi huu.

Kwa upande mmoja wameshaichoka CCM na mfumo wake.

Kwa upande mwingine, hata huko UKAWA hawa makapi wa CCM washakuteka.

Hapo ni sawa na mlinzi wa kimakonde kakufuma anakwambia "ukichimama nchale, ukikimbia nchale".
 
You are always on point mkuu!
Tatizo mihemko ya kisiasa imezidi lakini this election in my view is over kwa sababu one month before election day, Team Lowassa is broke wanajaribu kuchangisha bila mikakati.
Lowassa is very sick and has incurable disease na imeshawekwa hadharani mpaka wananchi wa hali ya chini wenye elimu ndogo wanajua hili. Watanzania are not that desperate!
Mwisho kabisa internal strifes na drama za Ukawa zimewachosha wengi. Wanaobaki kushabikia ni hard core fans wanaosema eti hata akiwekwa jiwe watachagua jiwe. Watanzania are not fanatics kana Polepole alivyosema.
 
Kippi Warioba alipigwa chini na CCM kugombea ubunge Kawe 2010.

Kama Warioba angekuwa mtu cheap hivyo kwa nini hakutoka CCM then?

Warioba kaombwa na UKAWA kugombea urais. Kabla ya Lowassa. Kakataa. Warioba kwangu mimi angekuwa mgombea wa urais wa UKAWA convincing kuliko Lowassa.

Lakini Mzee wa watu hakuendekeza uroho wa madaraka. Kakataa kugombea urais kwa tileti ya UKAWA.

Sasa unawezaje kusema myu huyu ana motivation ya maslahi binafsi ya mwanawe kugombea ubunge wa Kawe kama yeye mwenyewe kakataa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya UKAWA?

Does that make sense?

Unajua aina nyingine ya Binadamu asili yao-kuuma na kupuliza na waoga wa maisha hasa masilahi Binafsi yanapoingia katikati yake.
Kwamba huamini mpaka sasa kuwa ni mtu cheap siyo?.
Endelea kuamini hivyo na ni haki yako !

Hujajibu swali unarukia generalities.

Warioba kapewa nafasi ya kugombea urais UKAWA. Warioba angekuwa na credibility zaidi ya Lowassa kama mgombea wa irais wa UKAWA.

Kama kweli anaweka maslahi binafsi mbele, mbona kakataa kugombea urais?
 
Mkuu soma mistari!
Yes ana sifa kuliko Lowassa lakini hajiamini na ni mwoga!

Unajua aina nyingine ya Binadamu asili yao-kuuma na kupuliza na waoga wa maisha hasa masilahi Binafsi yanapoingia katikati yake.
 
Mkuu soma mistari!
Yes ana sifa kuliko Lowassa lakini hajiamini na ni mwoga!

Unajua aina nyingine ya Binadamu asili yao-kuuma na kupuliza na waoga wa maisha hasa masilahi Binafsi yanapoingia katikati yake.

Unatoa conclusion ambayo ni ignorant.

Unajua anachojua Warioba mpaka useme hajiamini na ni mwoga ndiyo maana kakataa kuwa mgombea wa UKAWA?

Akikwambia UKAWA hakijakomaa kuongoza nchi na hakina organization, na hiyo ndiyo sababu hajakikubali itamlazimisha akione kimekomaa?

Ni lazima kila mtu aone sawa na wewe?
 
NDIO siasa za bongo hizi kama ulikuwa hujui unakuwa blind huku unaona walimchimba bit mzee wa watu usaniii unaendelea CCM ngumu kung'ooka kwa sasa
 
Kippi Warioba alipigwa chini na CCM kugombea ubunge Kawe 2010.

Kama Warioba angekuwa mtu cheap hivyo kwa nini hakutoka CCM then?

Warioba kaombwa na UKAWA kugombea urais. Kabla ya Lowassa. Kakataa. Warioba kwangu mimi angekuwa mgombea wa urais wa UKAWA convincing kuliko Lowassa.

Lakini Mzee wa watu hakuendekeza uroho wa madaraka. Kakataa kugombea urais kwa tileti ya UKAWA.

Sasa unawezaje kusema myu huyu ana motivation ya maslahi binafsi ya mwanawe kugombea ubunge wa Kawe kama yeye mwenyewe kakataa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya UKAWA?

Does that make sense?

Big up, ww ni kijana unayejitambua na kupambanua mambo, yani UKAWA usipokubaliana nao ni kosa kubwa sana, hatuwezi kuendelea kwa misinamo ya kijinga namna hiyo.
 
Muulize kwanza Lowasa aliyeshiriki bunge la katiba akiwa ccm na kuikataa rasimu ya warioba leo kauziwa chama(chadema) na kugombea urais
 
Unatoa conclusion ambayo ni ignorant.

Unajua anachojua Warioba mpaka useme hajiamini na ni mwoga ndiyo maana kakataa kuwa mgombea wa UKAWA?

Akikwambia UKAWA hakijakomaa kuongoza nchi na hakina organization, na hiyo ndiyo sababu hajakikubali itamlazimisha akione kimekomaa?

Ni lazima kila mtu aone sawa na wewe?

Vipi kumbukumbu inapotea?
Ila nashukuru kupigilia misumari hoja yangu ya Uwoga!
Unajua sifa ya mtu asiyejiamini na mwoga ?

Na watu waoga hawatufai kwa Tanzania ya sasa!
 
Hujajibu swali lililoulizwa.

Somo la ufahamu unalifahamu?
 
Back
Top Bottom