Wallah walioba ni miongoni mwa Wa tz wasaliti.nashangaa nanazid kushangaa hili taiga Mzee kamahuyu nae!!!
Njema kabisa
Hapo ndo utaona watanzania tuko tofauti duniani yule ni mwanasheria yuko vile je sie darasa hakuna tuko vipi ila huo ndo mfumo tuliojengewa watanzania ndo mana kenyatta alimwambia nyerere kuwa unaongoza maiti tanzania
Nimepata jibu kelele za Humphrey Polepole hawa ndo waliokuwa wanamtuma!
Amefnya hivyo kwa sababu gamba tayari limevuka, Fisadi hayupo tena CCM, Nachama kimebaki salama
Baner ya magufuli inanipa raha sana humu ndani
Huyu Huyu Mzee Warioba Ndiye Alipigwa Na MaCCM Wenzake Kwa Sababu ya Kushaabikia rasimu yake ya Katiba. Leo Ni
Kimbembele wa Kuishaabikia CCM. Kweli CCM Ni Ile Ile..Do Hata Dr. Magufuli Hawezi Lolote Kwa MiCCM.
ulichosema ni kweli hata wakati anapigwa na makonda rais alitamka kule mwanza akiwa gold crest kwamba wazee wengine wanajitakia kupigwa. na kule bungeni hata wale wa darasa la saba B walimtukanaIkumbukwe kuwa Jaji Warioba alikuwa akizunguka kutoa elimu ya uraia pamoja na kueleza wananchi jinsi maoni yao yalivyotupwa kwenye rasimu ya katiba jambo ambalo lilifanya atukanwe, adhihakiwe, adharauliwe na hata kudaiwa kupigwa.
Kilichonishangaza ni yeye kusimama jana na kupiga kampeni kwa wagombea, wakati kwanza chama hicho ndo kilihusika kusigina maoni ya wananchi, pili mmoja wa wagombea alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba sasa Mh. Warioba ulikuwa unazunguka kufanya nini kwa wananchi ikiwa leo una wanadi waliosigina maoni ya wananchi?
Sikutegemea kwa kweli, sasa vipi ile rasimu ya wananchi ndo huitetei tena? Nimewaza kwa sauti wajamaeni.
Ikumbukwe kuwa Jaji Warioba alikuwa akizunguka kutoa elimu ya uraia pamoja na kueleza wananchi jinsi maoni yao yalivyotupwa kwenye rasimu ya katiba jambo ambalo lilifanya atukanwe, adhihakiwe, adharauliwe na hata kudaiwa kupigwa.