Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Warioba kama angekuwa na motivation ya kufaidika binafsi, angegombea urais kwa tiketi ya UKAWA na watu tungempigia kuta kwa wingi bila matatizo wala maswali anayoyapata Lowassa sasa ambaye wengine hatuna imani naye.
Sio kila mtu ni president material.
Kuna wanaofaidia na serikali wakiwa nje ya urais.
Warioba mmoja wao.