Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,976
- 146,278
Hoja yako haina mashiko, jaji warioba hakuwa upande wa upinzani hara mara moja,alitimiza wahibu wake kwa wananchi si kwa ukawa pekee(tafadhali usizingatie tafsiri ya ukawa hapa).
Baada ya kumaliza kazi anawajibu kwa chama chake na sasa anatimiza wajibu wake sasa wewe kipi kilichokusukuma uamini kuwa Warioba alipaswa kuwa upinzani?
Labda uniambie kuwa ulikuwa hujui jjukumu alilopewa Jaji Warioba na wenzake!
Tatizo ninaloliona hapa ni hii tabia ya ushabiki. Watu wanaleta ushabiki wa CCM vs UKAWA kwenye kila kitu.
Hawajui kuna watu wanaangalia kanuni za msingi kuliko vyama.
Kwa watu kama hawa, mtu akikaa kwenye kanuni, na kupingana na CCM, basi lazima atakuwa anaenda UKAWA au upinzani.
Akipingana na CCM kwa kanuni kwenye masuala fulani, na kubaki CCM abadili CCM kutoka ndani kwa maoni yake, hawamuelewi.
Si lazima kila mtu akubaliane na mimi, kwa mfano, ili mtu huyo awe logical.
The same applies to Warioba and these UKAWA liutenants.