Jaji Ndunguru anachekesha sana

Unaweza kumuona mtu kakaa kwenye V8 ukasema ni mtu kumbe.....
Ndio Jaji huyo tena wa mahakama kuu...hatari sana ...
Kweli kabisa mkuu. Unaweza kumuheshimu kumbe ni mjinga na wa hivyo sana. Kama huyo Ndunguru.
 
Tatizo la Tanzania sasa hivi ni kuwa ujinga na upumbavu vimegezwa kuwa ni tunu ya taifa na watu hawaoni tena aibu kufanya mambo ya kijinga kabisa. Huyu ni mmoja wa hao wajinga walioamua kuweka matumbo mbele bila kujali heshima yake. Mnaweza kumlamu Samia, lakini kama anaweza kumfanya mzee kama huyu ageuke kuwa mpumbavu wa karne basi ana akili kuliko yeye.
 
Yani kutawaliwa na mtu kama Samia ni kama anatutia laana na nuksi watanganyika wote hvi tufanyaje kuepukana na hii lana..Mwanamke yule ni laana tupu.

Ila khs Lissu kila kitu kina sbb ilikua lazima.iwe hvo ili aje kua rais
 
Kweli Kabisa mkuu. Wanazingua sana.
 
Mahakama ya Tanzania haijawahi kuwa huru kwenye kesi zenye maslahi ya kisiasa dhidi ya serikali na CCM.
Sijui tutatokaje hapo mkuu. Ili mahakama zetu ziwe huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…