Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais.
======================
“Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa Rais na vyama vya siasa, naomba ieleweke hivi mkutano wa Rais na vyama vya siasa utaitishwa muda ukifika, huu ni mkutano wa wadau wa siasa, tumemuomba @SuluhuSamia aje kufungua tu" Jaji Mtungi, Msajili wa vyama.
===================