Jaji mstaafu Mark Bomani naye atoa mpya..

Tuweke record sawa hapa. Kwanza kuhusu upitishwaji wa jina la Waziri Mkuu. Wabunge wa CHADEMA walikuwa wanatuma salamu kwa Anna Makinda kwamba akae chonjo, wapo makini katika kuzingatia kanuni na taratibu za bunge, ambazo watazifuata katika kupigania kile kilichowaleta pale bungeni: maslahi ya wananchi na taifa kwa kujumla. nilivyoona katika TV jinsi mijadala ilivyoendelea, CHADEMA ilitimiza lengo lake kwa hali ya juu kabisa. mfano ule utaratibu wa kupitisha mtu anayegombea nafasi katika bunge bila kumuuliza maswali ya msingi, ulionekana kupitwa na wakati. ilichekesha pale Tundu Lissu alipotumia nafasi ya kuuliza maswali mbunge anayegombea kuwakilisha bunge letu katika bunge la SADCC, na akamuuliza swali dogo tu ni nini kirefu cha SADCC. mgombea huyo ambaye awali alipoeleza cv yake alionesha jinsi alivyoshugulika saaana na mambo ya SADCC. lakini alishindwa kueleza kirefu cha SADCC!! hii inaonesha ugonjwa mkubwa sana kwamba mtu anagombea katika jambo ambalo hata hajalifanyia kazi na kulielewa sawasawa.

kwa hiyo basi, uhakiki wao wa taratibu zinazotumika pale bungeni ni halali kabisa kufanya katika mazingira yoyote yale.

pili, CHADEMA wanayo haki ya kuamua jinsi watakavyofanya protest yao. kwa kuwa sheria ni kandamizi, kwamba huruhusiwi kupinga uteuzi wa rais akishatangazwa na tume, ni juu ya chama chochote kuamua kitumie mbinu gani mbadala. hii ni mbinu ya political pressure, ambayo ilimgusa waziri mkuu mteule Pinda, kama uliangalia runinga wakati anatoa neno la shukrani. hilo ndio lilikuwa jambo la kwanza kulizungumzia, jinsi CHADEMA walivyomweka pembeni, akakumbuka bunge lililopita walivyomuunga mkono. hata wakati wa kumpitisha wakati anateuliwa kujaza nafasi ya Lowasa, za kumpinga zilikuwa ni chache zaidi kulinganisha na za sasa. unaweza kusema, japo kura ni za siri, kwamba CHADEMA hawakumpa kura zao. ni kweli haina impact kubwa kwa upande mmoja, lakini the mere fact kwamba inazungumziwa katika duru mbalimbali, na ni mara ya kwanza kutokea kwa msisitizo mkali namna hii katika siasa za Tanzania, ni dalili kwamba ina impact tayari!! protest imefanyika na imeshafanikiwa. suala la wizi wa kura hasa za urais bado litakuwa katika ajenda mbalimbali kitaifa na kimataifa. hata hapa jf bado ni mada moto. mission accomplished!!

unasahu rais huwa anaunda tume za hawa wabunge? si unakumbuka ile ya madini,

acha siasa, anachosema Kiranga ni cha kawaida kabisa kwa akili ya kawaida na siyo kuleta philosophical arguments ambazo hazileti tija wala kubadilisha hoja.Learn from cuf walivyosusia baraza la wawakilishi.

Hii issue imekaa vibaya kuliko kawaida, is this a return to people who voted for chadema? can you heal their wounds just by talking ambiguos things?

maslahi matamu, bunge tamu ebo!!!!
 
Kiranga;1274262]Kama CHADEMA haimtambui Kikwete kwa nini wabunge wa CHADEMA wamepiga kura kumratify Waziri Mkuu Pinda aliyependekezwa na Kikwete?

Walikuwa wanampigia kura PM aliyependekezwa na nani pale ?

CHADEMA wanamtambua Kikwete, hizi nyingine longolongo, matendo yao hayaonyeshi kwamba hawamtambui.

Don't get me wrong, simtetei Kikwete wala CCM. Na sijapenda habari yote ya NEC kuhodhi matokeo ya uchaguzi mpaka yatangazwe pamoja, na CCM inaweza kuwa imeiba kura, I have no way of disputing these notions outright.

Lakini at the same time, ukiibiwa na kusema humtambui rais huwezi kumpigia kupiga kura katika kuhakiki uteuzi wa PM ambaye kapendekezwa na rais huyu huyu ambaye humtambui. Unapigia kura uteuzi wa nani sasa ?

Slaa/ CHADEMA wanachemsha hapa, kama humtambui rais itisha mgomo nchi nzima, wafanyakazi wa serikali wasiende kazini kwani hakuna rais halali, wabunge wasiende bungeni, mpaka rais halali apatikane.

NDIO JK SIO RAIS HALALI WA TANZANIA - AMECHUKUA UONGOZI KWA MABAVU - AMETUMIA MBINU KUIBA KURA AKIJUA VYOMBO VYA DOLA (VYENYE SILAHA) VIKO NYUMA YAKE - NDIO MAANA KAFANYA HIVYO

UNATAKA WAONYESHE VITENDO VIPI??? WAMEAMUA KUTOFANYA VITENDO - BALI WAMESEMA WAZI KUWA HAWAMTAMBUI

MGOMO NCHI NZIMA; WASIENDE KAZINI; ................ INGEKUWA TUKO NCHI NYINGINE WANGEFANYA HIVYO - WAZEE WA EAC JUZI WAMEMWAGIWA MAJI YA ACID KWA KUDAI HAKI YAO - UNATAKA WANAJESHI WAMWAGE DAMU YA NDUGU ZETU AU?.................

CHADEMA ITAENDELEA KUSEMA NA KUSEMA NA KUSEMA - KUWA RAIS ALIYEPO MADARAKANI HATAMBULIWI - NA SI CHADEMA TU - ILA WATANZANIA WENGI WANAJUA HIVYO KUWA HAYUKO KIHALALI

KUMBE INAUMUUMA?? NA NYIE WAFUASI WAKE INAWAUMA????????????? KAMA HAIWAUMI - SI MKAE KIMYA BASI??? AM SURE JK USIKU HALALI - USINGIZI WAKE WA SHIDA ............NA PRESHA INAMPANDA INASHUKA - KWANI ANAJUA WATANZANIA WALIO WENGI WANAJUA YEYE NI "MWIZI" WA KURA.

SIJUI ATAJIBU NINI MBELE ZA MUNGU ALIYE HAI - AU HAJUI ATASIMAMA MBELE ZAKE SIKU MOJA??? YEYE AENDELEE TU NA NYIE BADALA YA KUMWAMBIA UKWELI KUWA AACHIE NGAZI KWANI HAIPENDEZI - ENDELEENI KUMDANGANYA -
ILA MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI!!!!!!!!!!!!!!!!!!

WABUNGE WA CHADEMA WATAENDELEA NA KUWAKILISHA WATANZANIA WALIOWACHAGUA .............. WANAFANYA HIVYO KWANI WANAJUA WATANZANIA WANA SHIDA KIASI GANI - NA KWAMBA WATANZANIA WAMECHOKA MNO NA UONGOZI WA CCM WATANZANIA WANYONGE TUNAAMINI KUWA ................... ADUI WAMEKUJA KWA NJIA MOJA ILA MUNGU ATAWATAWANYA KWA NJIA SABA - NA HAPO NDIO JK NA NYIE MNAOUNGA MKONO WIZI WA KURA (INCLUSIVE JUDGE BOMANI) WATAKAPOLIA NA KUSAGA MENO

Jaji Bomani, ni mtu anayeheshimika katika jamii yetu na hivyo sio wa kupuuzwa hata kama ametofautiana na msimamo wa Chadema, the same applies to Jaji Warioba, Jaji Mfalila, Salim Salim, Ibrahim Kaduma etc, wale waumini wazuri wa Mwalimu Nyerere.

Usitudanganye wewe yaani hata akituambia upuuzi tumkubalie? heshima za kinafiki ndio zanatuponza.
 
Wakuu pamoja na kumshambulia Judge turudi nyuma pia na sie tuangalie wapi tunaelekea, outcome ya kumkataa Rais ni nini sio tunasema ushabiki ukishamkataa matokeo yake nini?

Mimi nawashauri CHADEMa wakubali matokeo wajipange upya na kutafuta wanachama wengi zaidi nchi nzima. Ruzuku imeongezeka sasa waitumie kuongeza wanachama na washabiki na hasa kuamasisha vijana kujiandikisha na kupiga kura kwa wingi.

Kusema tu hatumtambui kikwete bila kuoangalia watapata nini haina maana.
 
Jaji Bomani, ni mtu anayeheshimika katika jamii yetu na hivyo sio wa kupuuzwa hata kama ametofautiana na msimamo wa Chadema, the same applies to Jaji Warioba, Jaji Mfalila, Salim Salim, Ibrahim Kaduma etc, wale waumini wazuri wa Mwalimu Nyerere.

Sory sory sory. Unamheshimu wewe kwa uwezo unaoujua wewe. Kama wewe unamheshimu kwa vile ni jaji basi tukubali kuwa hata jaji lewes makame unamheshimu kwa nadharia hiyo hiyo. Lakini naamini Jaji kama jaji ataheshimiwa kwwa uwezo wake wa kutoa maamuzi ya busara. nje ya hapo ni crap!!! Kama jaji bomani anaielewa katiba ya nchi asingekuwa na fikra ndogo kiasi hicho.
 
AGE...Calculate half life ya Brain yake then nipe jibu kama umekuta kitu.......Obvious EMPTY SET

mkuu half life ya mzee bomanii iko power negative 5. Thinking capacity inaretard backwards,concave thinking. IQ imepoteza network,full tym inaandika 'network search' ikikamata tu inakamata network yenye IP address "dr.SLAA the presida" ndo maana anaangaika ivo. Msamehe babu.
 
Lakini heshima lazima uifanyie kazi na hawezi kuwa anatoa kauli za hovyo hovyo na jamii ikaendelea kumsikiliza tu kwa sababu hizo ulizozitoa...............Respect is earned via our actions it is neither demanded nor doled out for free.................

Darasa zuri umetoa, nazani huyu ndugu amekpata!
 
Nchi hii si ya kikwete. Chadema kutomtambu Jk ni sahihi kwa kuwa hakuchaguliwa kihalali. Bunge si la Jk nila wananchi na ndo maana linauwezo wa kumwajibisha Rais. Wabunge wa Chadema hawakupewa kazi na Jk,wamepewa kazi na wananchi na ndoa maana wanaingia bungeni kuwatumikia. Na za Jk hana uwezo wa kuwafukuza au kuwaondolea ubunge. Mie simtambui Jk, haina maana nihame nchi. Cuf hawakumtambua Karume mpaka walipo strike deal.
 
Tuweke record sawa hapa. Kwanza kuhusu upitishwaji wa jina la Waziri Mkuu. Wabunge wa CHADEMA walikuwa wanatuma salamu kwa Anna Makinda kwamba akae chonjo, wapo makini katika kuzingatia kanuni na taratibu za bunge, ambazo watazifuata katika kupigania kile kilichowaleta pale bungeni: maslahi ya wananchi na taifa kwa kujumla. nilivyoona katika TV jinsi mijadala ilivyoendelea, CHADEMA ilitimiza lengo lake kwa hali ya juu kabisa. mfano ule utaratibu wa kupitisha mtu anayegombea nafasi katika bunge bila kumuuliza maswali ya msingi, ulionekana kupitwa na wakati. ilichekesha pale Tundu Lissu alipotumia nafasi ya kuuliza maswali mbunge anayegombea kuwakilisha bunge letu katika bunge la SADCC, na akamuuliza swali dogo tu ni nini kirefu cha SADCC. mgombea huyo ambaye awali alipoeleza cv yake alionesha jinsi alivyoshugulika saaana na mambo ya SADCC. lakini alishindwa kueleza kirefu cha SADCC!! hii inaonesha ugonjwa mkubwa sana kwamba mtu anagombea katika jambo ambalo hata hajalifanyia kazi na kulielewa sawasawa.

kwa hiyo basi, uhakiki wao wa taratibu zinazotumika pale bungeni ni halali kabisa kufanya katika mazingira yoyote yale.

pili, CHADEMA wanayo haki ya kuamua jinsi watakavyofanya protest yao. kwa kuwa sheria ni kandamizi, kwamba huruhusiwi kupinga uteuzi wa rais akishatangazwa na tume, ni juu ya chama chochote kuamua kitumie mbinu gani mbadala. hii ni mbinu ya political pressure, ambayo ilimgusa waziri mkuu mteule Pinda, kama uliangalia runinga wakati anatoa neno la shukrani. hilo ndio lilikuwa jambo la kwanza kulizungumzia, jinsi CHADEMA walivyomweka pembeni, akakumbuka bunge lililopita walivyomuunga mkono. hata wakati wa kumpitisha wakati anateuliwa kujaza nafasi ya Lowasa, za kumpinga zilikuwa ni chache zaidi kulinganisha na za sasa. unaweza kusema, japo kura ni za siri, kwamba CHADEMA hawakumpa kura zao. ni kweli haina impact kubwa kwa upande mmoja, lakini the mere fact kwamba inazungumziwa katika duru mbalimbali, na ni mara ya kwanza kutokea kwa msisitizo mkali namna hii katika siasa za Tanzania, ni dalili kwamba ina impact tayari!! protest imefanyika na imeshafanikiwa. suala la wizi wa kura hasa za urais bado litakuwa katika ajenda mbalimbali kitaifa na kimataifa. hata hapa jf bado ni mada moto. mission accomplished!!

Ukishashiriki kupigia kura pendekezo la Kikwete la Waziri Mkuu, na mtu anayempendekeza Waziri Mkuu ni rais, maana yake umeshamtambua Kikwete kama rais.

Ningewaona CHADEMA wako serious katika kutomtambua Kikwete kama rais kama tu wangekataa kupigia kura chaguo la Kikwete.

Hii habari ya kupigia kura pendekezo la rais Kikwete wakati humtambui Kikwete kama rais mi naona ni mazingaombwe tu.
 
Kiranga,
You maye have to qualify/ammend your statement. There are reports elsewhere in JF that CHADEMA voted no on Pinda. That the 46 votes that rejected him were CHADEMA votes. If that is the case.....
 
Kiranga,

..sometimes u work with what u have.

..Chadema hawawezi kwenda mbali na kuchukua hatua kali kama kuitisha MIGOMO na MAANDAMANO.

..wa-Tanganyika wanapenda amani, kwa hiyo waacheni Chadema wadai haki kwa njia " softly softly " ya kumgomea Raisi.

..Tanganyika siyo sawa na jirani zetu wa Kenya, au kama walivyokuwa Wapemba, inapokuja suala la kudai haki zao za kikatiba.

..hopefully, CCM nao watatia akili na kurekebisha uozo uliko NEC ili tuwe na chaguzi bora zaidi huko mbeleni.

..definetely you can not bank on Tanganyikans kuendelea kuwa wavumilivu daima na milele.
 
Jokakuu mkuu wangu safi sana kwani majibu yako yamezingatia - WATU na MAZINGIRA. Chadema wanatakiwa kuendelea kuwepo bungeni na kutoa hoja zao kila wanapopata nafasi. Kususia bunge ni kujiondolea nafasi ya kuwakilisha wananchi, kuleta mabadiliko ya katiba na kadhalika.

Sidhani kama Watanzania wako tayari kushuka uwanja wa Jangwani kama mageuzi ya China!
 
Kiranga,
You maye have to qualify/ammend your statement. There are reports elsewhere in JF that CHADEMA voted no on Pinda. That the 46 votes that rejected him were CHADEMA votes. If that is the case.....

1. Kura ilikuwa ya siri, kwa hiyo there is no way of telling kwamba CHADEMA wame vote yes or no.

2. Usichanganye ninachosema hapo juu. Mimi siongelei CHADEMA kupiga kura ya YES or NO. Mimi naongelea CHADEMA kupiga kura at all. Mimi jina langu Kiranga ChaNgeda CHADEMA hawanitambui kama rais, ningepeleka jina la Sangala Kandumbwa nimpendekeze awe PM, CHADEMA wangeshiriki kupiga kura? Hata hiyo ya NO ? Of course not. Kukubali kupiga kura, whether YES or NO, kunamaanisha umekubali aliyependekeza ana authority ya kuitisha hiyo kura.

Kukubali kupigia kura pendekezo la Kikwete kuna maana walimtambua Kikwete kama rais. Inabidi wanapotaka kufanya mambo mazito kama haya wafanye kwa uzito wake, ama sivyo wachambuzi wa mambo tutaona CHADEMA haiendeshwi kama chama, tutaona wabunge wanamtambua rais lakini Slaa aliyeshindwa uchaguzi hamtambui, tutaona ni mambo ya emotions na personal vendetta zaidi ya msimamo wa chama, tutaona chama kinaendeshwa kwa ubinafsi badala ya miongozo ya pamoja.
 
Kiranga,

..sometimes u work with what u have.

..Chadema hawawezi kwenda mbali na kuchukua hatua kali kama kuitisha MIGOMO na MAANDAMANO.

..wa-Tanganyika wanapenda amani, kwa hiyo waacheni Chadema wadai haki kwa njia " softly softly " ya kumgomea Raisi.

..Tanganyika siyo sawa na jirani zetu wa Kenya, au kama walivyokuwa Wapemba, inapokuja suala la kudai haki zao za kikatiba.

..hopefully, CCM nao watatia akili na kurekebisha uozo uliko NEC ili tuwe na chaguzi bora zaidi huko mbeleni.

..definetely you can not bank on Tanganyikans kuendelea kuwa wavumilivu daima na milele.

CHADEMA is not working with what it has, what it has is a bad deck of cards, from the constitution to a complacent populace.

If it was working with what it has, it would have dropped the silly protest outright, recognize Kikwete, and attempt to change the electoral process from Bunge. This is what I call the cold approach.

Otherwise, the other option is a quick transformation like I pointed out above, maandamano nchi nzima, kuitisha migomo etc. This is what I call the hot approach.

Sasa wao hawamo kwenye ubaridi wala umoto, wanaleta uvuguvugu usioeleweka ambao kwa watu wengine kama sisi tunaweza kuuona kama unafiki na undumilakuwili. Wanataka mabadiliko lakini wanaogopa backlash na kulipa price yake.

Hata misahafu imeandika "bwana hawapendi wavuguvugu, atawatapika". Look now you done make me put my pastor gear on (yes the atheist pastor lol)
 
Kiranga,

..sometimes u work with what u have.

..Chadema hawawezi kwenda mbali na kuchukua hatua kali kama kuitisha MIGOMO na MAANDAMANO.

..wa-Tanganyika wanapenda amani, kwa hiyo waacheni Chadema wadai haki kwa njia " softly softly " ya kumgomea Raisi.

..Tanganyika siyo sawa na jirani zetu wa Kenya, au kama walivyokuwa Wapemba, inapokuja suala la kudai haki zao za kikatiba.

..hopefully, CCM nao watatia akili na kurekebisha uozo uliko NEC ili tuwe na chaguzi bora zaidi huko mbeleni.

..definetely you can not bank on Tanganyikans kuendelea kuwa wavumilivu daima na milele.
Endelea kujidanganya mpaka siku yatakapokukuta. Mwanza, Arusha, Shinyanga na sehemu nyingine ya nchi yalipotokea amani ilikuwa likizo?
Jaribu muone kama wadanganyika bado wanadanganyika! Kila kitu kina mwanzo. Kenya ilikuwa mara yao ya kwanza na Tanzania itakuwa mara ya kwanza. Sacrifice ndio itakomboa nchi na wanetu na wajukuu wataishi kutukumbuka
 
Kiranga,
You maye have to qualify/ammend your statement. There are reports elsewhere in JF that CHADEMA voted no on Pinda. That the 46 votes that rejected him were CHADEMA votes. If that is the case.....

mkuu ukimwona bongolala muache. Usimwashe aliyelala...
 
Back
Top Bottom