Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Kichekesho kipo kwa Dr. Slaa kususa ilhali wenzake wanakula!
Kibs bana... wewe unachojua ni kula na kunywa tu!! talking about mkulima kula mbegu, ndiyo maana hata mbegu za demokrasia nchini CCM wameamua kuzibugia!!!