Jaji mstaafu Mark Bomani naye atoa mpya..

kiranga,

..sometimes u work with what u have.

..chadema hawawezi kwenda mbali na kuchukua hatua kali kama kuitisha migomo na maandamano.

..wa-tanganyika wanapenda amani, kwa hiyo waacheni chadema wadai haki kwa njia " softly softly " ya kumgomea raisi.

..tanganyika siyo sawa na jirani zetu wa kenya, au kama walivyokuwa wapemba, inapokuja suala la kudai haki zao za kikatiba.

..hopefully, ccm nao watatia akili na kurekebisha uozo uliko nec ili tuwe na chaguzi bora zaidi huko mbeleni.

..definetely you can not bank on tanganyikans kuendelea kuwa wavumilivu daima na milele.

tanzania kuna amani? Kama hujui kuwa hakuna amani basi hujui amani nini, watu wanakufa njaa, wajawazito na vichanga wanakufa, wangapi wanapigwa risaasi et majambazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom