CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Masati is a controversial judge!
Mkuu,Mhe.Jaji Kimario alikuwa mmoja wa majaji watatu walioamua rufaa yangu pia. Hili ni jopo lisiloyumbishwa. Huwa linapenda kufanya kazi kwa standard ya kuweka Case study nzuri kwa ajili ya mifano siku zijazo.. Nawaamini.
Mkuu,
utakubaliana nami kuwa kamanda Lisu ametusaidia sana maana wangepanga majaji wa hovyo ila kwa kujua uzito wa hukumu naona wameamua kukaa vichwa wote! tusubiri tuone haki ikitendeka!
Massati ni jaji makini vibaya sana...we subiri utasikia nini kitaamuliwa ....i have a lot of trust on massati kuliko Chande.
Mhe.Jaji Kimario alikuwa mmoja wa majaji watatu walioamua rufaa yangu pia. Hili ni jopo lisiloyumbishwa. Huwa linapenda kufanya kazi kwa standard ya kuweka Case study nzuri kwa ajili ya mifano siku zijazo.. Nawaamini.
Vipi kuhusu Tundu Lisu kufiwa na baba yake? Ataweza kweli kuwepo kwenye shauri hiyo siku?
Next to Impossible, tarehe 20 mwili wa baba yake ndio unaagwa Tegeta Dar kuelekea Singida na kuzika ni Jumamosi, kama Rufaa itasikilizwa mfulululizo Lisu ni wa kumtegemea kuanzia Jumatatu. ila Wanasheria wenyewe wanajuwa namna ya kuendesha mambo yao. Lisu he know how to handle those matters.
sasa we na yeye nani mwehu?
Amani ya Arusha itarudi Jembe letu litakaporejeshwa bungeni!
sana sana arusha, watu wa arusha ni wa kuhurumia sana, shughuli za kiuchumi arusha zimepungua mno kiasi cha kwamba mji ukifika saa 10 jioni ni mweupeee hauna watu tofauti na zamani. Watu wa arusha wameathirika sana sana na vurugu za lema za kisiasa.