Jaji au Hakimu anapoandaa hukumu, huwa ni siri yake au hupaswa kushirikisha watu wengine kabla ya kusoma Mahakamani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,042
144,411
Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani.

Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi.

Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza hoja za mawakili wa pande zote, sheria inawahuruhusu kupata ushauri kutoka kwa mahakimu au majaji wenzao katika kuandaa hukumu?

Vipi kuhusu maagizo kutoka juu?

Katika Mahakimu au Majaji kumi, ni wangapi wana ubavu wa kukataa maagizo kutoka juu?

Vipi kuhusu Raisi kuteua Majaji na wakati huo huo serikali/Jamuhuri ndio hushitaki hasa kwa kesi zenye muelekeo wa kisiasa?

Nawaza mengi hasa nikikumbuka kesi za kina Lema na kunyimwa dhamana, wapinzani kufungwa jela, n.k.

Nchi ngumu sana hii.
 
Katika mahakimu au majaji kumi, ni wangapi wana ubavu wa kukataa maagizo kutoka juu?

Nawaza mengi hasa nikikumbuka kesi za kina Lema na kunyimwa dhamana, wapinzani kufungwa jela, n.k.

Nchi ngumu sana hii.
Tunaomba haki itendeke
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani.

Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi.

Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza hoja za mawakili wa pande zote, sheria inawahuruhusu kupata ushauri kutoka kwa mahakimu au majaji wenzao katika kuandaa hukumu?

Vipi kuhusu maagizo kutoka juu?

Katika Mahakimu au Majaji kumi, ni wangapi wana ubavu wa kukataa maagizo kutoka juu?

Vipi kuhusu Raisi kuteua Majaji na wakati huo huo serikali/Jamuhuri ndio hushitaki hasa kwa kesi zenye muelekeo wa kisiasa?

Nawaza mengi hasa nikikumbuka kesi za kina Lema na kunyimwa dhamana, wapinzani kufungwa jela, n.k.

Nchi ngumu sana hii.
Kesi ya lipumba na seif mahakama iliegemea kwa lipumba kwa maelezo toka juu, ni nguma kuziamini hizi mahakama
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani.

Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi.

Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza hoja za mawakili wa pande zote, sheria inawahuruhusu kupata ushauri kutoka kwa mahakimu au majaji wenzao katika kuandaa hukumu?

Vipi kuhusu maagizo kutoka juu?

Katika Mahakimu au Majaji kumi, ni wangapi wana ubavu wa kukataa maagizo kutoka juu?

Vipi kuhusu Raisi kuteua Majaji na wakati huo huo serikali/Jamuhuri ndio hushitaki hasa kwa kesi zenye muelekeo wa kisiasa?

Nawaza mengi hasa nikikumbuka kesi za kina Lema na kunyimwa dhamana, wapinzani kufungwa jela, n.k.

Nchi ngumu sana hii.
Husubiri memo toka juu.
 
Back
Top Bottom