JAHAZI la CLOUDS bila KIBONDE haliwezekani.

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Ni ukweli usiofichika kuwa Kibonde anapokosekana kwenye Jahazi mambo yote huwa yanakwenda shagalabagala. Hawa watoto kina Kayanda huwa wanacheza makidamakida na kujiumauma tu. Kwa lugha nyepesi, Jahazi haliwezekani bila Anko Kibondez.
 
clouds ffffffffffffffffmmmmmmmmmmmm:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
Virus detected....loading....Virus Scanned! Press Ok to continue!
 
Back
Top Bottom