Jack Cliff hatanyongwa wala kufungwa

Jack Cliff hatanyongwa wala kufungwa

huyo hata akilipiwa fine lazima achomwe sindano ya sumu ya kufa polepole hata miaka 3 ijayo
 
Kwa uzoefu wangu mimi, kama adhabu inatoa range ya muda kama inavyosemwa hiyo ya Macau, Jaji au Hakimu anaweza kuangalia mambo kama; hiyo ni mara yako ya ngapi wewe kukamatwa kwa kosa hilo, kukiri kwako kutenda kosa na kuonyesha majuto ya kosa lako na kuomba msamaha, kutaja wahusika - waliokutuma na unaowapelekea, afya ya akili yako, na kadhalika.

Kwa hiyo, kama utapewa fursa ya kujitetea na kuwasilisha mitigating circumstances/ factors, unaweza kutaja mambo kama hayo kwa matumaini ya kwamba bwana au bibi jaji au hakimu atakuhurumia na hivyo kupunguza ukali wa adhabu dhidi yako.

Hivyo ndivyo nidhaniavyo mimi. But what do I know.....mi mbeba mabox tu.
EMT atanisahihisha kama nimekosea.

Pia wanaangalia aina ya madawa uliyoshikwa nayo ikiwa ni pamoja na kiasi..
 
Last edited by a moderator:
Kwa uzoefu wangu mimi, kama adhabu inatoa range ya muda kama inavyosemwa hiyo ya Macau, Jaji au Hakimu anaweza kuangalia mambo kama; hiyo ni mara yako ya ngapi wewe kukamatwa kwa kosa hilo, kukiri kwako kutenda kosa na kuonyesha majuto ya kosa lako na kuomba msamaha, kutaja wahusika - waliokutuma na unaowapelekea, afya ya akili yako, na kadhalika.

Kwa hiyo, kama utapewa fursa ya kujitetea na kuwasilisha mitigating circumstances/ factors, unaweza kutaja mambo kama hayo kwa matumaini ya kwamba bwana au bibi jaji au hakimu atakuhurumia na hivyo kupunguza ukali wa adhabu dhidi yako.

Hivyo ndivyo nidhaniavyo mimi. But what do I know.....mi mbeba mabox tu.
EMT atanisahihisha kama nimekosea.

Komredi umeona mbebi huyo punda wa ukwee alafu Le Mutuz kanialika uzinduzi wa Blog yake nichague mabebies.
 
Comrade, Thanks.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Komredi umeona mbebi huyo punda wa ukwee alafu Le Mutuz kanialika uzinduzi wa Blog yake nichague mabebies.

Hahahaaaa Komredi usikose hiyo shughuli bana. Ni imani yangu kwangu huo uzinduzi utakuwa na mkusanyiko wa wabebs wa ukwee kupata kutokea katika historia ya taifa.

JAKEE+1.jpg
 
Kwa uzoefu wangu mimi, kama adhabu inatoa range ya muda kama inavyosemwa hiyo ya Macau, Jaji au Hakimu anaweza kuangalia mambo kama; hiyo ni mara yako ya ngapi wewe kukamatwa kwa kosa hilo, kukiri kwako kutenda kosa na kuonyesha majuto ya kosa lako na kuomba msamaha, kutaja wahusika - waliokutuma na unaowapelekea, afya ya akili yako, na kadhalika.

Kwa hiyo, kama utapewa fursa ya kujitetea na kuwasilisha mitigating circumstances/ factors, unaweza kutaja mambo kama hayo kwa matumaini ya kwamba bwana au bibi jaji au hakimu atakuhurumia na hivyo kupunguza ukali wa adhabu dhidi yako.

Hivyo ndivyo nidhaniavyo mimi. But what do I know.....mi mbeba mabox tu.
EMT atanisahihisha kama nimekosea.

You're right. Pia kuna jamaa ali-jump bail akaja kukamatwa few years later akajitetea apunguziwe adhabu kwa sababu tokea aingie mitini ameshakuwa na familia na kama akipewa maximum sentence, familia yake itateseka sana kwa kuwa inamtegemea.

Hakimu alimkatalia kwa kigezo kuwa atampa adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine kuto-jump bail.
 
Hawa Punda wanatupa taabu sana hapa Mjini kwa sisi wenye vipato halali,kwa hiyo huyo Jack Cliff adhabu inayomfaa ni hizo Nyundo 60 without Parole.Kudadadaadek....
 
You're right. Pia kuna jamaa ali-jump bail akaja kukamatwa few years later akajitetea apunguziwe adhabu kwa sababu tokea aingie mitini ameshakuwa na familia na kama akipewa maximum sentence, familia yake itateseka sana kwa kuwa inamtegemea.

Hakimu alimkatalia kwa kigezo kuwa atampa adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine kuto-jump bail.

I think it's too soon for people to start writing her obituary because, for all we know, she may end up copping a plea and not have to go to trial and receive a much shorter sentence, after all.

But we'll see....
 
Hayo madawa yanavyotakiwa soon mtasikia hazikuwa dawa za kulevya bali ni unga maalum unaotengeneza maji ya kunywa salama ya Kilimanjaro... hivyo kesi itatakiwa Mengi ndie amshitaki huyo mrembo....
 
Hahahaaaa Komredi usikose hiyo shughuli bana. Ni imani yangu kwangu huo uzinduzi utakuwa na mkusanyiko wa wabebs wa ukwee kupata kutokea katika historia ya taifa.

JAKEE+1.jpg

Le Mutus naanza kuwa na mashaka nae anaweza naye akawa ni mdau.... maana kapuya alisema kitu kuwa watoto wao wanauza madawa na hawakamatwi!
 
Naomba msaada kidogo. Wanaposema kifungo cha kati ya miaka mitatu hadi 15 hakimu huwa anatumia kigezo gani kukuchagulia miaka ya kifungo? Thamani ya madawa, kujitetea kwa mtuhumiwa, huruma ya hakimu au kígezo gani hasa?

Nimeshashuhudia kesi za aina moja lakini vifungo vikatofautiana....

Chifu, ngoja nivamie swali......

Kuna kipindi kinaitwa banged up abroad urushwa na National Geographic-Adventure, kikionyesha real stories za raia waliokamatwa, kufungwa na kuteswa katika jela nje ya nchi zao.......

Sasa kuna mdada mmoja wa kimarekani alikamatwa kama sio Thailand ni nchi mojawapo ya Asia ya Kusini Mashariki......dada huyo alikuwa akishirikiana na mpopo mmoja kusafirisha kilo 2 za coca kwenda Marekani....Xray mashine ikamdaka airport katika nchi hiyo niliyoisahau.......

Coca ikapimwa ikakutwa ni 99.9% pure.......adhabu iliyotolewa na jaji ikabase kwenye percentage ya purity....yaani kwa kila asilimia 1 ya purity, basi mdada anapata kifungo cha mwaka 1 jela.....sasa kwa purity ya 99.9% mdada akala mvua ya miaka 99.........

Hivyo hapo mdada akahukumiwa kutokana na purity percentage ya coca aliyokamatwa nayo.......ingawa badae alikuja kuachiwa baada ya hukumu yake kupitiwa upya......ndio akapata wasaa wa kusimulia kisa chake........
 
Aisee Mkuu Nzi hii..Ilikuwa Thailand..Mbaya zaidi polisi walikuwa hawabadilishi gloves kwenye ukaguzi..hiyo hiyo inatumika kwenye papuchi zote Duuh!!!

Inasikitisha ..Lakini ndiyo wakome..
 
Last edited by a moderator:
Aisee Mkuu Nzi hii..Ilikuwa Thailand..Mbaya zaidi polisi walikuwa hawabadilishi gloves kwenye ukaguzi..hiyo hiyo inatumika kwenye papuchi zote Duuh!!!

Inasikitisha ..Lakini ndiyo wakome..

Kile kipindi ni fundisho zuri sana kwa ma jackass
 
Dah!!!! Hawa wabebs wa ukweee sasa wameanza kuwa punda wa ukweeee wa kubebeshwa yale mauchafu.....Kweli MUJINI shughuli nzito ukitaka maisha ya kifahari bila kuwa na ajira inayoeleweka shurti ukubali kuwa punda.

Hahahaaaa Komredi usikose hiyo shughuli bana. Ni imani yangu kwangu huo uzinduzi utakuwa na mkusanyiko wa wabebs wa ukwee kupata kutokea katika historia ya taifa.

JAKEE+1.jpg
 
Tatizo mademu wa bongo wanapenda sana kula kwale bila jasho,na watakoma sana hii ni trail tu picha bado.

Katika watu wanaokula kwa jasho ndo hao sasa, unadhani kujilipua hivyo ni rahisi kama sio jasho hilo, huwezi linganisha na wanaokaa kwenye viyoyozi, mwisho wa mwezi unapokea chako, sasa hawa kwanza anajikataa mwenyewe anaamua kujilipua na kumeza hiyo mi dude tumboni ikipasuka ndo byebye, akikamatwa ndo hivyo tena kusema kweli wanatafuta pesa za kawaida tu ambazo wangezipata kwa njia nyingine za kihalali tu ispokua wanaishia kuzitafuta kwa jasho sana wakati haziwasaidii wanaendelea kuishi maisha ya kawaida tu kama ya wengine, na sijui kwanini hawakomi!
 
Hapa itasumbua,,,yaan liwalo na liwe ya wafilipino ni tofaut na liwalo na liwe ya vijana wa kitanzania,wao wanataka wajambishe wenzo kinondon,wale wanataka wajikim kimaisha huku wakitumia ARVS
Ahlaan!!!!!

Sana tu mkuu ila hapa sample yetu kwenye punda ambao ni positive itasumbua! !!!!!
Any clue??!!!
 
Back
Top Bottom