Bahalulu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 106
- 23
- Thread starter
- #41
Tupatie hiyo sheria inayosema kuwa atafungwa miaka 60 au kulipa faini ambayo hajulikani. Ni ajabu sheria kusema kuwa aliyekutwa na hatia atalipa faini bila kusema atalipa faini ya kiasi au hata kuweka kiwango cha juu au chini.
Kwa mujibu wa sheria Namba 17/2009 ya Macau, "punda" anayekutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya nchini humo anatumikia kifungo cha miaka kati ya 3 na 15.
Ushauri wa bure na kwa faida yako: tafuta dissertation iliyoandikwa na Ho We Chong kama sehemu ya shahada yake ya uzamili Juni 2013 kwenye Chuo Kikuu cha Macau yenye kichwa cha habari: "A comparative study of punishment for drug trafficking crime in Greater China: With a historical overview and the current practices."
Then, soma zile sections zinazozungumzia sheria za Macau. Natumaini baada ya hapo utakuwa umepangusa vumbi kwenye ubongo wako.
Pia itakusaidia kutorukia na kuandika mambo ambayo hata huyajui. I doubt kama unajua adhabu ya kosa hilo kwa mujibu wa sheria za nchi yako.
Mkuu umetumia Gobore kuua mbu, kabla hujaja na ushauri wa juu ya kufuta vumbi kwenye ubongo wangu nadhani uanze na wa kwako.. nini maana ya Tetesi? Hizi ni tetesi tuu
Tanzania ukishikwa na madawa ya kulevya kwanza hatuna mdhamana na adhabu ya kifungo cha maisha itakuhusu. Nitashangaa sana kama Macau watakuwa na adhabu ya kizembe hivyo.
Nitapitia hiyo makala lakini nitafanya general overview sio kutumia muda wangu kutaka kujua sana kusiko kuwa na msingi.