Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
Weeeeeee mtoto mzr hvyo anyongwe? Subr uone sinema mkuu! Naunga mkono hoja
Macau alipokamatwa Jack Cliff hawana adhabu ya kifo ila kwa kuwa imethibitika atafungwa jela kwa muda wa miaka 60 AU faini (not mentioned) hivyo tutegemee Lady Boss kurudi mtaani..
ce'st la vie
Bado madam diamond.na umissmiss wake
Ndo huyo huyo
Lakini picha za mitandaoni zinaonyesha Demu aliyefunikwa sura, sasa hii kwamba ni Jack huyu sijui watu wamekisia au,
lakini kama si kweli ni yeye binafsi kama Jack uko mjink hapa ningependa ujitokeze!
Macau alipokamatwa Jack Cliff hawana adhabu ya kifo ila kwa kuwa imethibitika atafungwa jela kwa muda wa miaka 60 AU faini (not mentioned) hivyo tutegemee Lady Boss kurudi mtaani..
Tupatie hiyo sheria inayosema kuwa atafungwa miaka 60 au kulipa faini. Ni ajabu sheria kusema kuwa aliyekutwa na hatia atalipa faini bila kusema atalipa faini ya kiasi au hata kuweka kiwango cha juu au chini.
Kwa mujibu wa sheria Numba 17/2009 ya Macau, "punda" anayekutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya nchini humo anatumikia kifungo cha miaka kati ya 3 na 15.
Ushauri wa bure na kwa faida yako: tafuta dissertation iliyoandikwa na Ho We Chong kama sehemu ya shahada yake ya uzamili Juni 2013 kwenye Chuo Kikuu cha Macau yenye kichwa cha habari: "A comparative study of punishment for drug trafficking crime in Greater China: With a historical overview and the current practices."
Then, soma zile sections zinazozungumzia sheria za Macau. Natumaini baada ya hapo utakuwa umepangusa vumbi kwenye ubongo wako.
Pia itakusaidia kutorukia na kuandika mambo ambayo hata huyajui. I doubt kama unajua adhabu ya kosa hilo kwa mujibu wa sheria za nchi yako.