Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Kwa uzoefu wangu mimi, kama adhabu inatoa range ya muda kama inavyosemwa hiyo ya Macau, Jaji au Hakimu anaweza kuangalia mambo kama; hiyo ni mara yako ya ngapi wewe kukamatwa kwa kosa hilo, kukiri kwako kutenda kosa na kuonyesha majuto ya kosa lako na kuomba msamaha, kutaja wahusika - waliokutuma na unaowapelekea, afya ya akili yako, na kadhalika.
Kwa hiyo, kama utapewa fursa ya kujitetea na kuwasilisha mitigating circumstances/ factors, unaweza kutaja mambo kama hayo kwa matumaini ya kwamba bwana au bibi jaji au hakimu atakuhurumia na hivyo kupunguza ukali wa adhabu dhidi yako.
Hivyo ndivyo nidhaniavyo mimi. But what do I know.....mi mbeba mabox tu.
EMT atanisahihisha kama nimekosea.
dunia ikikubaliana adhab za watu wanaodili na unga iwe kifo au maisha,,,nadhan itasaidia,,,,
Last edited by a moderator: