r.i.p muzee
bado hajaaga wakuu.....he's doin fine with our tax money.....RIP and If not Mwanamtera mmoja ajitoe kutetea humu ndani kwa Malecella kuwa Waziri Mkuu, Waziri, Balozi, Makamu Mwenyekiti na Mbunge amewafanyia nini?
serikali inamghalimia mapesa ya walal hoi ili kupata matibabu Ulaya!Wapi na wapi jamani!
huyu ndio alitaka kutuuza kwa wairan ambapo tungekuwa watumwa mpaka kufa
hana lolote fisadi tu huyu na yeye......alikuwa mrohomwa madaraka mpaka alipofukuzwa na wenyechama
hamna haja ya kuendelea kuishi afe tu uko uko
tumechoka na hawa watu
huruma yetu wanatutia umaskini
hawa watu wanatumia fedaha yetu tu kirahisi namna hii??? wazee wa EAST AFRICA mafao yao mpaka leo hawajapata
bado hajaaga wakuu.....he's doin fine with our tax money.....
bado hajaaga wakuu.....he's doin fine with our tax money.....
bwanamdogo hatujengi madaraja kwenye makaratasi kama unavyofanyaBe carefulna story za vijiweni, unless una hakika kabisa Malecela alitaka kutuuza kwa Iran...akiwa nani?? rais??Try to think sometime!
think and put things on ground.....bwanamdogo again mie sio mpiga misumali hewanina hivi umetumia jina lako lazima ulambe makalio ya wakina tinga tinga na JK mwaka huu....Try to think sometime!
Huyu mama hana mchango wowote pale mjengoni. Alikuwa maarufu wakati ule wa RICHMOND tu. Huenda kesha pata chake au mafisadi wameshamfisadiUgua pole! tuankuombea upone haraka. Kuugua kwako kunatuasababishia kumkosa mama yetu kipenzi Anne kilango!
acha unafiki weweUgua pole Mzee. Mungu akusaidie upone haraka na kurejea katika afya yako
r.i.p muzee
kwahiyo ww unatukana na kukejeli hapa kwa sababu unatumia kivuli. Hii ni tabia mbaya licha ya kwamba unajifanya mjuaji. Huna ujuaji na wala hulka za kibinadam. Hivi mzee wako wewe leo hii watu wamwambie afe na maneno km hayo ni sahihi? Kisa nini? Tofauti za kiitikadi. Wenye itikadi hawapo hivyo.bwanamdogo hatujengi madaraja kwenye makaratasi kama unavyofanya kama kufa afe hamna wa kumlilia labda familia yake hana la maana kwa watanzania zaidi ya kuzidi kuwaumiza tax payers think and put things on ground.....bwanamdogo again mie sio mpiga misumali hewanina hivi umetumia jina lako lazima ulambe makalio ya wakina tinga tinga na JK mwaka huu....
kama baba yangu ni fisadi nae afilie mbalikwahiyo ww unatukana na kukejeli hapa kwa sababu unatumia kivuli. Hii ni tabia mbaya licha ya kwamba unajifanya mjuaji. Huna ujuaji na wala hulka za kibinadam. Hivi mzee wako wewe leo hii watu wamwambie afe na maneno km hayo ni sahihi? Kisa nini? Tofauti za kiitikadi. Wenye itikadi hawapo hivyo.