live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 792
- 1,268
Nawasalimu Kwa jina la JMT
Kwa kweli hakuna kitu kinachokera kama mgao wa umeme unaotokana na upungufu wa uzalishaji wa umeme
Mabwa yetu yanayozalisha umeme ni ya kizamani na uwezo wake ni mdogo hivyo hi shida ya upungufu wa umeme Ina mda mrefu hapa Tanzania.
Ilipokuja gasi ya Songosongo na Mtwara tuliambiwa shida ya umeme Sasa itakuwa historia kumbe Ile gasi sio yetu Kwa tabia yetu kuuza rasilimali za nchi Kwa mikataba mibovu.
Magufuli alipoangalia hayo yote akaona hakuna suruhisho zaidi ya kujenga bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere.
Akapigwa vita sana na wanasiasa mafisadi ambo wao shida za watanzania ndio mafanikio Yao.
Hao wanasiasa mafisadi wakapeleka taarifa hadi katika mashirika ya kimataifa Ili bwawa lisijengwe ila Magufuli akaziba masikio akasema lazima lijengwe.
Leo hi bwawa la Nyerere ndio tumaini pekee Kwa watanzania lililobakia kuhusu kutatua changamoto ya umeme.
R I P Jembe langu