Rais Samia: Mbaazi sasa siyo mboga ni zao la biashara

Street brain

JF-Expert Member
Oct 24, 2022
486
606
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF,

Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu.

Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata kidogo atusitiri japo kidogo tu.

Mbaazi sisi wengine ndizo zimetukuza mpaka hapa tulipo.

Nawasilisha kwenu Jamhuri.

---
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesimama kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Nanguruwe Mkoani Mtwara leo September 16,2023 ambapo amewataka Wakazi wa Mikoa ya Kusini kuondokana na dhana kuwa mbaazi ni mboga pekee na kuliona kwamba ni zao la biashara na kuwataka walime zao hilo kwa wingi kwakuwa soko lake ni la uhakika.

“Mbaazi sasa sio mboga ni zao la biashara kwahiyo wekeni jitihada kwenye kilimo kikubwa cha mbaazi soko lipo tumeshaweka mikataba na Nchi zinazonunua kwahiyo soko la uhakika lipo”

“Kama ilivyopanda bei mwaka huu bei zitaendelea kuwa hivyo kwahiyo kalimeni sana mbaazi, ufuta na korosho, jinsi tunavyoongeza thamani ya zao letu ndivyo bei zitakavyopanda”
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF,

Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu.

Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata kidogo atusitiri japo kidogo tu.

Mbaazi sisi wengine ndizo zimetukuza mpaka hapa tulipo.

Nawasilisha kwenu Jamhuri.
Hivi uyu mama anatuchukuliaje labda mi mbaazi kwangu bonge la mlo na mawazo hakuna
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF,

Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu.

Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata kidogo atusitiri japo kidogo tu.

Mbaazi sisi wengine ndizo zimetukuza mpaka hapa tulipo.

Nawasilisha kwenu Jamhuri.
Mbaazi zina bei nzuri sana uhindini na uchina kama ilivyo kwa ufuta marekani. Tanzania imechelewa sana kwenye kuuza mbaazi nje ya nchi.
 
Wakulima wa MBAZI KITETO hakuna rangi wamewacha kuona safari , keji, ki buri na dharau za wazi kutoka viongozi wa Wilaya, kulazimishwa kupeleka mbazi ghalani Kwa Kutumia Nguvu, huku wajanja wachache wakizichua hizo mbazi Toka ghalani Kwa mlangi wa nyuma na kuzipeleka dar es salaam halafu wanauza Kwa Bei 2400/ halafu mkulima anakuja kulipwa baada ya weeki Tshs 2100-2130 Kwa kg,

Watu wanatumia nafasi zao kuwanyonya wakulima wa. Kiteto, hawatemani Tena Kulima mbazi, wengine wamepewa kesi na mbazi zao kuchukuliwa Kwa Nguvu, na mifano
 
Wilayani KITETO wamelata Stakabadhi ghalani baadala ya kutafuta masoko ya nje ya Nchii, Viongozi Wamepeleka mbazi za wakulima Kwa Madalali Dar es salaam, Hadi hapa wakulima waliochikuliwa mbazi zao Kwa Nguvu na kupelekwa ghalani wanachanga muda umepita hamna Hela , wakiuliza mbazi wanaambiwa imeenda kuuzwa Dar es salaam na madalali
 
So sad
 
Wakulima wa MBAZI KITETO hakuna rangi wamewacha kuona safari , keji, ki buri na dharau za wazi kutoka viongozi wa Wilaya, kulazimishwa kupeleka mbazi ghalani Kwa Kutumia Nguvu, huku wajanja wachache wakizichua hizo mbazi Toka ghalani Kwa mlangi wa nyuma na kuzipeleka dar es salaam halafu wanauza Kwa Bei 2400/ halafu mkulima anakuja kulipwa baada ya weeki Tshs 2100-2130 Kwa kg,
Watu wanatumia nafasi zao kuwanyonya wakulima wa. Kiteto, hawatemani Tena Kulima mbazi, wengine wamepewa kesi na mbazi zao kuchukuliwa Kwa Nguvu, na mifano
Daaaaah so sad mkuu yaani apo ni ufisadi mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom