Habari JFGT,
Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?
Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.
Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??
Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.
Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".
Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!
Salute Mheshimiwa Rais!
[h=2]Re: ITV vs JPM & CCM[/h]wachaga wameweka kinyongo.... mirija inazibwa ... majipu yanapasuliwa ..From Njiwa Quote)
Hongera Kirimirimi, siku hizi sikioni kitufe cha 'like'. Na mimi ndivyo nilivyomsoma mleta mada, infact yeye ndio ana chuki na tena ni mchonganishi wa haja. Haoni amani anapenda kuona mafarakano, angependa na kufurahi sana rais Magufuli angemtenda Mengi, maana ndiko chuki yake ilipolala, wako na wengine kama yeye, mfano huyu Njiwa. Tena basi kuna uwezekano mkubwa wao ndio hawana amani na utendaji wa mheshimiwa rais. Mi ni mchaga na nimesikia comments nyingi za wachaga hususan watu wazima kuwa now, we have a president at least, anaonyesha uwezo. Lakini kuna baadhi ya watanzania wanatamani wachaga sijui wachinjwe au wafanyweje!
Unawapangia ipi iwe ya kwanza? Anzisha kituo chako panga unavyotaka wewe. Hakuna kituo kama ITV, ukisema taarifa ya habari watu tayari wanapata picha ya ITV kichwani mwao.
Habari JFGT,
Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?
Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.
Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??
Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.
Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".
Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!
Salute Mheshimiwa Rais!
Mleta mada una chuki binafsi na Mengi sasa unataka magu amkomeshe kisa anatokea sehemu usiyotoka wala kuipenda. Ushindwe na ulegee kwa chuki zako