papa shirandula
Member
- Sep 15, 2014
- 21
- 8
sawa sawa yaaani wewe una akili mpaka umepitilizawachaga wameweka kinyongo.... mirija inazibwa ... majipu yanapasuliwa ...

we jamaa nilijua utaisoma number jinsi ulivyokuwa ukishabikia ukawa duu sasa hivi umeufyata mkia na bado mtakomaFungua tv yako na wewe ili tuone uhodari wako kwenye utendaji
Maraisi wote wanaopiga mdudu huwa wanailetea sana maendeleo nchi yetu mfana Mkapa na sasa Magufuli lakini wale wanaotembea na ndizi za pilau ni hatariwachaga wameweka kinyongo.... mirija inazibwa ... majipu yanapasuliwa ...
Habari JFGT,
Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?
Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.
Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??
Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.
Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".
Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!
Salute Mheshimiwa Rais!
Nina wasi wasi kama uwa unaangalia habari au vipindi vingine vya itv, hivyo maelezo yako yanaonyesha kwamba uangalii itv ila unamihemuko mingine ya chuki tena sio na itv bali na mmiliki wake, mie naomba nikushauri, hebu tafuta njia nyingine za kuungwa mkono na watu wenye mitizamo kama yako na sio kuja kutafuta sababu zisizo na pumzi au uhai, chuki na roho mbaya hazifai muda huu, tumepata serikali mpya sasa tufanye kazi.
Pole ndugu mie na waungwana wenzangu hatuko na wewe, pia nasikitika watu nyie mmekuja kwa kasi sana humu jf ili tu muihujumu na watu waone haifai, acha chuki.
Kituo bora cha habari nchini ni ITV...ITV Daima
Mi nafikiri tuache uchonganishi ...navisifu vyombo vyote vya habari maana vinampa uzito mkubwa sana Mh Rais...