Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,602
- 378
Kwani umesikia ITV ni tv ya serikali, kitu cha muhimu kwa ITV ni kulipa kodi stahiki, na sio kutoa habari za kiongozi fulani kafanya nini. Wao wapo kibiashara zaidi.
umekula maharage ya wapi
Huu ni umbea yawezekana hata mada hii umeiandika ukiwa bar tena kama kawaida yako
Huu ni umbea yawezekana hata mada hii umeiandika ukiwa bar tena kama kawaida yako
inaanzia pale ukitoa zilizoibiwa jumulisha nazile walizomwachia unapata wengiWengi kwako inaanzia na kuishia ngapi? Au milioni 6?
Habari JFGT,
Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?
Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.
Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??
Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.
Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".
Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!
Salute Mheshimiwa Rais!
inaanzia pale ukitoa zilizoibiwa jumulisha nazile walizomwachia unapata wengi
kwa hiyo hata mwandishi akaweka front page jinsi mama yako alivyobakwa na kukuzaa wewe ni sawasawa?
Hivi kwa akili ya kawaida tu, EL ana brain kama ya JPM? Hivi kweli kuna aliyetegemea EL angekuwa rais wa nchi hii ya watu wazima kama BWM? Lazima atakuwa na mtindio wa ubongo.