DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,184
- 2,597
Mimi sijawahi angalia tv yoyote zaidi ya ITV na mambo yote anayoyafanya nayaona kupitia ITV,
exactly utakuwa unaishi maporini
Mimi sijawahi angalia tv yoyote zaidi ya ITV na mambo yote anayoyafanya nayaona kupitia ITV,
Cha msingi hiyo habari ilisomwa...kama isingalisomwa ningechangia..
Mwongo😡
Habari JFGT,
Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?
Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.
Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??
Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.
Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".
Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!
Salute Mheshimiwa Rais!

Kwa utaratibubwa uandishibwa habari, habari ya kwanza ni muhimu zaidi kuliko habari inayofuata. Una hiyari ya kukubali hilo au kulikataa. Hata magazeti habari muhimu kuliko zote ni ile iliyo ukurasa wa kwanza kwa maandishi makubwa
Wenzako kina makonda paulo hawakujipendekeza namna hiyo ili wapate ukuu wa wilaya, kafunge tu gidamu za rizimoja utapata unachokihitaji.Otherwise, ITV wanajitambua, wanakumbuka vizuri hotuba nzuuuuuuri ya mbayuwayu ya 2006,kilichotokea wahabeshi ndio wamekuwa mabalozi wetu China .