ITV vs Rais Magufuli na CCM

ITV vs Rais Magufuli na CCM

Status
Not open for further replies.
kuna mtu anakulazimisha kuangalia ITV?, inaoneka unaangalia tv wakati wa taarifa ya habari tu.
 
Kwangu Mimi hakuna TV zinazo nipa ukakasi kama TBC na (Star TV ya wakati Wa kampeni angalau sasa hivi Star TV wanarudi polepole
 
Habari JFGT,

Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?

Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.

Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??

Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.

Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".

Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!

Salute Mheshimiwa Rais!
inawezekana pombe ilikuwa nshapanda kichwani
 
Fuatilia report ya Mabele Makubi leo kutoka Mwanza uone itakavyokuwa.Ikiwa less than 5minutes naomba uje unikate mguu.Ndefu utadhani documentary vile kumbe habari tu.Huyo mzee tayari anaupande of which siyo dhambi so take it easy.BTW: Napendekeza habari za biashara ziitwe "Shajara ya Simbeye" maanake kila siku huyu mshua wa TPSF lazima aonekane pale sijui anahisa yule au ni Northerner.No offense.
 
Habari JFGT,

Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?

Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.

Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??

Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.

Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".

Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!

Salute Mheshimiwa Rais!

Kwani habari kuwa ya kwanza kutangazwa au ikiwa ya mwisho kutangazwa itakuwa imeondoa maana?.

Ikitangazwa ya kwanza au ya mwisho bado itabakia kuwa ni habari, labda kama una yako yanakusumbua.
 
Umeishiwa uzi wa kuanzisha? ITV utailinganisha na tv gani nchini?
 
Mkuu hata mm niliinote hiyo, yaan zile point zote alizoongea pale bungeni hazikuonyeshwa badala lile neno alilosema kwa utani kuwa "ukawa ni watoto wakikua wataacha" lilirudiwa kama mara tatu hv.

Anzisha TV yako uweke uyatakayo
 
So wewe mtazamaji ndo unawawekea prioritization za what comes first...? irekebishe tbc ndo uje itv..FYI itv is among the EA #super brands. Sio kila kitu cha tunapaswa kuongea ongea.TCRA si wapo? watu wa media msaidieni mtoa hoja.
 
Habari JFGT,

Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?

Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.

Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??

Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.

Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".

Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!

Salute Mheshimiwa Rais!

ulev c lazma unywe pombe sasa ndo nn umepost kwel ww ulkuwa bar acha habar za uchonganshi
 
Unafikiri kwa nini kwenye sherehe chakula huliwa mwishoni?? Usikariri jombaaa
 
Habari JFGT,

Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?

Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.

Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??

Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.

Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".

Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!

Salute Mheshimiwa Rais!

Mnafiki katika ubora wako!
 
Hujaanza leo kulalamika. Malindi/Mombasa unarudi lini?
 
Kwangu Mimi hakuna TV zinazo nipa ukakasi kama TBC na (Star TV ya wakati Wa kampeni angalau sasa hivi Star TV wanarudi polepole

Tena Sahara communications wasipotajirika msimu huu basi itakula kwao. Nadhani Dialo atapata ulaji kama AKSANTE kwa kutumika. Mkuu bado Star TV wanaendelea na kampeni, habari za migogoro kwa wapinzani hasa UKAWA zinatangwa kwa umuhimu mkubwa!
 
Nakuunga mkono japo umeandika kitu chenye kujulikana. Wakati wa kampeni ndio ilikua wazi kabisa, wanaosema ni kituo bora wote ni cdm. Huyo Mengi na makampuni yake nahisi faili lake liko mezani kwa JPM linadubiri namna ya kutumbuliwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom