ITV vs Rais Magufuli na CCM

ITV vs Rais Magufuli na CCM

Status
Not open for further replies.
mleta mada yupo sahihi kabisaa hana chuki na mtu, yote alioyasema yana ukweli 100%. kwa taarifa yenu kituo cha AZAM kwa sasa ndio tishio hakina mpinzani na co ndani ya tz tu! bali EA nzima,ikifuatia na Star tv, star tv wananifurahisha sana habarizao za ndani na nje zimetulia sana! hapo nadhani umenipata vizuri dadaa

Ushabiki maandazi plasi chuki hizo yani star I we bora labda kwa criteria zako mwenyewe. Kwani kuna ubaya Azam kuongoza si ndo vizuri.
 
Wewe uliye andika hii post una chuki binafsi na umetumwa
 
Itv hawampi heshima rais, habari zake si za kipaumbele, nmeshuhudia mara nyingi, wanapaswa kurekebisha, nw dayz mm natizama tbs o startv baadae wakimaliza habari za mhim ndo naweza kuwacheck itv..

Naona siasa zinawapwerepwetwa
 
tatizo linakuja hivi mwenye kituo kabila yake ni......na washabiki wake ni watu wa......... hii hatari sana,na ndiomaana hawakubali ukweli,na ukweli ndio huo
 
Habari JFGT,

Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?

Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.

Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??

Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.

Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".

Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!

Salute Mheshimiwa Rais!

Una kinyongo tu watu wa ITV. Hakuna asiyejua kwamba uchaguzi umekwisha, naona wewe bado uko zama za uchaguzi. ITV wanaripot matukio ya Rais kwa ufasaha mkubwa. Habari kutokuwa ya kwanza kunaweza changiwa na sababu kadhaa,ikiwa ni pamoja na maandalizi ya taarifa yenyewe kwa kuzingatia muda ilipopokelewa hiyo habari
 
Si uangali tbc unaangalia itv! unachekesha

Nao ccm wana tv yao mpeni masafa awe anawaomba huko bar ukifika muda wa taarifa ya habari wamfungulie ila aone asiambulie makofi. Jeuri yake yote hiyo pengine hana hata tv kwake ndio maana anazeesha viti vya baa.
 
Naona una lako jambo na ITV, hata hivyo hiki ni chombo binafsi wana haki ya kuchagua na kuamua habari ipi iwe ya kwanza na ipi iwe ya mwisho. Aidha ITV kwa waliyotendewa na ccm wana haki hata ya kuta report chochote kumhusu Magufuli /CCM /serikali yake.
EJL

Habari JFGT,

Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?

Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.

Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??

Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.

Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".

Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!

Salute Mheshimiwa Rais!
 
Nahc aka kasakata ka tra kanausisha wamiliki wa vyombo vya habar pia, baadhi yao ukwepa kodi!! Wataelewa tu mchezo dis tym around!! Hapa kaz tu!!
 
Ku proof hilo kwetu wengine ni ngumu sana cause linakuja suala la taarifa ya habari macho, masikio na remote mkononi hua ni suoer brand sasa mi sina uhakika kama usemalo ni kweli au laa?
 
Endelea kutazama tbc, but to be honest babu yangu nyumbani anaangaliaga taarifa ya habari ya itv to. Na ameanza kufanya hivyo tokea mda sana.
 
Mimi si muumini wa itv lakini kama ni mtu unaetaka habari mchanyato za siasa basi huna budu kuingalia ITV lakini kama ww ni mrengo wa upande mmoja basi Huna budi uangalie aidha tb..
🌟t... Maana wao hawapo kwa ajili ya maadili ya habari bali kw ajili ya kutukuza kundi fulani.
 
Habari JFGT,

Nimefuatilia kwa ukaribu nimeona ITV wana-report habari za Mkuu wa nchi na majeshi yake Rais JPM katika hali isiyompa umuhimu au uzito. Hii tafsiri yake ni nini?

Mfano, siku Mh Rais amelihutubia bunge na kutoa hotuba "ya kihistoria" iliyojaa uzalendo na kufufua matumaini, hotuba iliyogusa mambo nyeti kabisa yanayoisumbua nchi hii kama dawa za kulevya, ufisadi na ukwepaji kodi, taarifa ya habari saa mbili jioni habari ile ilisomwa kama ya tano au sita karibu na mwisho wa habari za kitaifa.

Nilikuwa bar muda huo watu waligeukia TV wakiamini habari hiyo itakuwa mwanzo kama ilivyozoeleka kipindi cha JK ambapo habari zake mara nyingi zilipewa kipaumbele kutangazwa mwanzo lakini walisubiri mpaka wakarudi kula maji tu. Hii ni nini??

Pia, juzi makamu wa Rais Mama Samia alikutana na Wanawake ofisini kwake kwa tukio la kikazi, habari hiyo ilisomwa mwisho-mwisho.

Anyway, siku Mh Rais au Makam au PM wakiwa na habari better niangalia TBC. Nahisi kuna element za mihemko na husuda.
Ila inabaki kuwa "uchaguzi umeisha, Rais ni JPJM".

Wanaisoma number tu sasa watu wa level ya kina Bade na bado!

Salute Mheshimiwa Rais!
Kwanini usianzishe TV yako! ili habari zisomwe ktkt mpangilio utakao kuridhisha wewe na walevi wenzako huko bar!!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom