Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,303
- 9,937
ITV ndiyo chombo cha habari ambacho kimekuwa kinafuatiliwa zaidi na watazamaji hasa Taarifa ya Habari ya saa 2:00 Usiku, ukienda bar nyingi ukifika saa 2 tu utaona wanaweka taarifa ya Habari.
Muinekano wa studio na muinekano wa picha uko vizuri
Lakini pamoja na kuwa nawatazamaji wengi wanahitaji kuboresha taarifa zao hasa kwa maripoter wa mikoani, maripoter wao wanatangaza utafikiri wanakimbizwa as business as usual habari unakuta hata source ya hiyo taarifa haipati muda wa kutoa maelezo ya kutosheleza, pia habari haichambuliwi kwa kina hapa wajifunze kwa Star TV wako vizuri.
Kwa upande wa taarifa za kimataifa dah ni bure kabisa taarifa inapewa sekunde 20 ukifika hapo nsbadilusha Chanel naenda star tv.
Michezo nako hivyo hivyo.
Naomba mjirekebishe.