#COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

Hebu tupeane week au 10days tupate picha ya toka 21.03 mpaka 26.03 baada ya hapo ndipo tuanze kupigiana misumari.

Maana tulienda Kilimarathon tukaambiwa subirini, sawa still on.

👉🏾Kuna wakati kila mtu ujichukulie usalama wewe kama wewe usisubiri beberu alete mtalii fake ili kukupa taarifa.
 
Kipaumbele cha kwanza kabisa kwa mama ni kupambana na COVID-19 lakini naye akiamua kufanya dharau kama jiwe itakula kwake.
Sasa hivi tu tungahesabu tunakimbilia kwenye malaki ya roho za Watanzania
 
Kipaumbele cha kwanza kabisa kwa mama ni kupambana na COVID-19 lakini naye akiamua kufanya dharau kama jiwe itakula kwake.
Kwenye Covi19 ngoja tuone ila naona amezungukwa na Watu wazima wajinga tokea kwa Hayati
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yaani inashangaza sana Mkuu kuona upumbavu wa hali ya juu kuhusu COVID. Imeshaondoka na Mama Lwakatare, Mahiga, Jiwe, Mpango almanusra na wengine wengi ndani ya hii Serikali na maccm lakini bado wanaonyesha upumbavu uliokithiri!

Kwakweli tuacheni kuwa na ujinga mwingi.

Wazungu, wachina sijui wanani hawaaminiki kabisa lakini hii uviko ipo na ni mbaya.

Ipo hata kama sisi ni wabishi ila ipo na inaondoa watu.

Covid ipo hata kama sisi ni wazalendo sugu lakini ukweli ni kuwa uviko ipo and watu wanakufa.

Utavimba hapa Jf ila omba MUNGU sana kinga yako iwe vizuri la sivyo ukiipata utaelewa.

TUJILINDE, TUZILINDE FAMILIA ZETU.
 
Yaani inashangaza sana Mkuu kuona upumbavu wa hali ya juu kuhusu COVID. Imeshaondoka na Mama Lwakatare, Mahiga, Jiwe, Mpango almanusra na wengine wengi ndani ya hii Serikali na maccm lakini bado wanaonyesha upumbavu uliokithiri!
Na Mutations zinazidi kuzalishwa itafikia hata hizi chanjo zitashidwa kufanya kazi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nadhani siku si nyingi zijazo Nchi nyingi duniani zikiwemo za Afrika zitapiga marufuku Watanzania kuingia kwenye Nchi zao.
Na Mutations zinazidi kuzalishwa itafikia hata hizi chanjo zitashidwa kufanya kazi
 
Yaani inashangaza sana Mkuu kuona upumbavu wa hali ya juu kuhusu COVID. Imeshaondoka na Mama Lwakatare, Mahiga, Jiwe, Mpango almanusra na wengine wengi ndani ya hii Serikali na maccm lakini bado wanaonyesha upumbavu uliokithiri!
hatari sana kwakweli
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom