ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

Imeshaingizwa tayar channel no 293 ila wameandika coming soon...! Wenye Dstv tuta enjoy sana jaman oops..
 
Safi sana nimeipenda nilitaka kushangaa hivi kwl dangote Reginald mengi ashindwe kuiweka dstv! Safi sana big up mkuu!
 
Napendekeza wabadilishane na tbc make inaniboa na siingalii
 
Baada ya mazungumzo ya muda mrefu baina ya ITV na DSTV saaa wameingia kwente makubaliano ambapo kituo hicho kitaanza kuonekana kwente kingamuI cha DSTV kuanzia kesho.

ITV inaonekana chanelnel no 293 na itaonekana kwenye parkage zote.

Source ITV habari.
 
Acha ukenge wewe ni channel 293 ...nazani ni all package
 
Mkuu edit kidogo spelling, na pia itaonekana channel namba 293 sio 902.
Kitu kizuri ni kuwa ITV itaonekana kwenye package zote kuanzia Bomba mpaka Premium. Kudos ITV ( Luninga ya taifa).
 
Meseji ifuatayo imetumwa kwa wateja wa DSTV leo
"Ndugu mteja tunapenda kukuarifu kuwa ITV itaanza kupatikana katika kingamuzi cha DSTV (Channel 293 )kuanzia kesho tarehe 2 Disemba katika vifurushi vyote "
Nami pia nimeupata ujumbe huo,hivyo si tetesi tena
Asante Dstv na ITV
 
Attachments

  • 1417456021791.jpg
    1417456021791.jpg
    40 KB · Views: 250
Wooooo! Good news, daa nikitambo sana niliimis ITV! Big Up!
 
ITV habari zinazomuhusu Mengi zinapewa airtime kubwa hata kama ni za kijinga. Mengi mbinafsi sana
 
Atleast sasa hivi vingamuzi vingine vijipange laa sivyo wataumia sana.
290,291,292,293 ITV

wewe unafikili wa TZ wote wanauwezo wa kununua ving'amuzi vya kulipia kama iyo DSTV watu wengi wapo startimes na digitek kwasababu hakuna malipo ya lazima lakini unapata channel nzuri za bongo
 
Back
Top Bottom